AUDIO: Sikiliza Bifu la Wema Sepetu na Man Fongo...Mama Wema Atoa Mapovu

Linapokuja suala la muziki mzuri hakuna mtu anaweza kutia neno akapingana na ukweli amabao wengi wameamua kuunga mkono,

 Muziki wa Singeli umekuepo kwa kipindi kirefu lakini design kama wabongo tulio wengi tumeanza kuuelewa kupitia waimbaji watu kama Man Fongo na Sholo Mwamba.
 ManFongo ni mshikaji ambae anazidi kujitengenezea Fanbase hasa kupitia shows za Fiesta ambazo zinaendelea mikoani.

 Mkali huyo wa Ngoma ya "Hainaga Ushemeji" amejikuta akiingia kwenye bifu zito na mama wa mrembo Wema Sepetu baada ya kuongea kile kilichotajwa kuwa hakimuhusu huku mpinzani wake Sholo Mwamba akitajwa kuwa chanzo cha beef hilo.

 Ubuyu uliozagaa unadai kuwa ManFongo aliongea vibaya kuhusu Mama Wema kilichopelekea Mam huyo kutokwa na povu lisilo la polepole.

 GossipCop Soudy Brown hakusita kuwatafuta wawili hao ili watuweke sawa.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Menopause inakujaga vbya jmn hahahahahaha

    ReplyDelete
  2. Ny*g* na kudata mwanae kafulia hahahah

    ReplyDelete
  3. hii familia ni ya ajabu ajabu sana, huyo mama ana mdomo sana sema watu wanamheshimu tu siku akiamuliwa ataumia na aibu yake.

    ReplyDelete
  4. Halafu anatamba ntakupiga. Anafaa kuhama mji akajaribu biashara Arusha kaa changu wake. Mccxxxx

    ReplyDelete
  5. Mzee Sepetu
    Kama akhera mnatuona na kutusikia
    Familiy uliyoacha inatisha kuanzia mama na mwanaye
    Mzee waombee watu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad