Profesa Ibrahim Lipumba aingia ndani ya ofisi za CUF makao makuu jijini Dar es salaam kama mwenyekiti wa chama hicho baada ya barua ya Msajili wa vyama vya siasa kutoa barua ya kumtambua kuwa bado ni mwenyekiti halali wa CUF.
Akizungumza na waandishi wa habari Jumapili hii akiwa ofisini kwake Buguruni jijini Dar es salaam, Lipumba amesema huu ndio wakati wake wa kuzungumza na wanachama wake juu ya kukijenga upya cha hicho.
“Sasa hivi mimi nitafanya kazi kama mwenyekiti na kuna mambo yanabidi yarekebishwe ndani ya chama na nitayafanyia marekebisho yanayohitajika. Lakini pia tutafuata katiba na kanuni za chama kuhakikisha nakijenga chama chetu,” alisema Lipumba.
Alipoulizwa kuhusu hali hiyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro alikiri kupokea barua ya msajili.
Hata hivyo, Mtatiro amesema kwa vyovyote vile msajili wa vyama vya siasa hana mamlaka ya kuingilia maamuzi ya vikao vya chama chochote cha siasa.
Breaking News: Lipumba ni Mwenyekiti Halali wa CUF
9
September 24, 2016
Aibu sana mambo msomi wewe na msajili mnayofanya
ReplyDeleteKaribu sana Mh Lipumba. Tulianza kupoteza Dira Hapo nyuma..Lakini baada ya Kurejea kwako Chama kitaimarika. Na ushirikiano tutakupa unaostahili.. karubu zana tufanye kazi.. pamoja kuinusuru chama na wanachama. Hapa Kazi tu..
ReplyDeleteUmetumwa na ccm nini?watu tumeongeza viti vya wabunge na madiwani sasa huko kuyumba kumetoka wapi?huyu mzee ni yuda kwa nini asitafute kazi nyingine ukizingatia yeye ni prof?mzee nyoka huyu mbona mwenzie slaa kuchukua hela ndefu ya ccm ametulia?
DeleteAmetumwa huyo siyo bure,msomi mzima aliyejiuzulu mwenyewe amekomalia nafasi alioachia.
ReplyDeleteNimeamin kuna watu na viatu walah haya mambo nayaona tz tu..duuuh i lost my words
ReplyDeletePombe pombe wewe na CCM yako unatuharibia nchi
ReplyDeleteKwani hakuna boko haramu watu wachache wasituaribie inchi uwa wote hawa
PRO AIBU!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKumamayo rais
ReplyDeleteCCM
Shein
Nyote mu wasengeerrrrrerr
Nikameteni na mimi
Fyuuuuuuuu
PUMBAVU ZAKO HAYO MATUSI UMEMTUKANA BABA YAKO, MAMA YAKO, SHANGAZI YAKO, BABA MDOGO WAKO, NA WENGINE WOTE WANAOKUHUSU, HUNA AKILI
Delete