BUNGENI: Serikali Kuanza Kuwalipa Wazee wa Miaka 70 na Kuendelea Sh 20,000 Kila Mwezi

#BUNGENI:Serikali ipo mbioni kuanza kuwalipa wazee pensheni bila kujali shughuli waliyokuwa wakifanya siku za nyuma.
Naibu Waziri wa Ajira, Kazi na Vijana Antony Mavunde amesema kwa kuanzia wazee watakuwa wakilipwa shilingi elfu ishirini kwa mwezi na wataanza kulipwa wazee wenye umri wa miaka sabini na kuendelea.
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii ndiyo Serial I Unayo itaka. Kustawisha Jamii na kumuhudumiaBibi yYang ambaye ugoro wake mpaka Nipigie simu nimrushie!! Sasa JPJM amelitambua hilo na ameliwekea Action plan.solution is being worked on. Makatibu mara orodhesheni maji na ya wazee watu na benki akaunti au daftari LA malipo na uhakikishe mfumo mzuri w ulipAji bila kuanziah ahewa tuliyoikataa.. sandenyi mdodo wa kukamua uwamsaje wazelee na wazelelo.. mlungu wa kutaze na mwaha JPJM. Sandenyi wa waha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau, Umenena la kweli, Kwa Mtazamo yangu ni kwamba This plan has a mechanism whereby once its rolled out. It will be monitored closely and evaluated at the same time. With innovation and Improvement as required. Im so Proud to see this is happening in our Nwe Tanzania. Focusing on peoples welfare and Development at its Core. Magu Hongera Heshima ya Nchi Itarudi na tutaingia kwenye mstari.. Hongera sana JPJM.

      Delete
    2. Mdau, Umenena la kweli, Kwa Mtazamo yangu ni kwamba This plan has a mechanism whereby once its rolled out. It will be monitored closely and evaluated at the same time. With innovation and Improvement as required. Im so Proud to see this is happening in our New Tanzania. Focusing on peoples welfare and Development at its Core. Magu Hongera Heshima ya Nchi Itarudi na tutaingia kwenye mstari.. Hongera sana JPJM.

      Delete
  2. Mdodo wa kukaya sandenyi na Jemedali JPJM

    ReplyDelete
  3. Isiishie kuongea tu na kwamba kuna wazee wana shida sana kweli,kwa maana 20,000/= si haba itamsaidia kupata debe moja la mahindi,hata dagaa,sukari,ataweza kupata kifungua kinywa japo uji.

    ReplyDelete
  4. Bora wangeacha tu kuliko kuwafanyia dhihaka hao wazee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli kabisa yaani atanunua nini kwa huo upuuzi!!

      Delete
    2. TATIZO MNAOONGEA MKO MIJINI TU,SISI TUNAOFANYA KAZI MPAKA VIJIJINI TUNAONA AFADHALI SANA TU.KUNA WAZEE WANAISHI KWA KULA MIZIZI,NA MBOGA ZA MAJANI TU,SASA AKIPATA SH.20000 ITAMSAIDIA KUNUNUA UNGA AWEZE KUPIKA UJI HATA KAMA NI WA CHUMVI.NI NDOGO KWELI LAKINI KWA MZEE MMOJA ITAMSAIDIA KULIKO KUKOSA KABISA.

      Delete
  5. serikali itambue wazee wanahitaji huduma...wachache wana watoto wanaowajali.ingependeza kama kuna mkakati wa kudumu wa kila mkoa kuangalia wazee wake kwa kujenga eneo maalum la wazee...na kutowabagua wanapoingia..kigezo kiwe ni umri tu...na wananchi wahamasishwe kuwalea hao wazee...haihitaji hela ya serikali..inahitaji uongozi mzuri wa mkoa...pamoja na tofauti zetu za kidini na kiitikadi..tunapaswa kukusanywa pamoja kwenye masuala ya kitaifa kama haya...inawezekana...

    ReplyDelete
  6. 20,000 kwa mwezi.....

    ReplyDelete
  7. ONNGGERA BBABA MAGGUFULII KWA KUTIKUMBUKA SISI WAZEE WAKKO BBABA..MUNGU AKUBAALIKI WEEEEEEEEHADI MWISHO WA UHAI WAKKO..AAMIIINA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ni fake mzee!! acha kuwasemea kwa hela gani nayo!? au wao hawaishi tanzania!!?

      Delete
  8. serikali naomba muangaliye upya hiyo 20000 haisaidi kitu fanyeni 50,000 bac. angalau wapate kiroba cha mchele mboga wahangaike wenyewe pls

    ReplyDelete
  9. Hadaa ya kutaka kufungia mafao yetu mpaka tufike miaka 60. Hatutaki. Walipeni kwa misingi yenu. Hii ilikuwa ni moja kati ya hoja zetu za kwanini fao la kujitoa liendelee kuwepo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawa wanataka kutuchanganya tu hawa!! wanaacha kuongelea fao la kujitoa wanaongelea tu elfu hishirini!! kwa mfano mtu ukifa na miaka hamsini pesa zako atakula nani!! waache kutufanya sisi mapoyoyo bwana...

      Delete
  10. JAMANI ELFU ISHIRINI KWA MAISHA YA SASA IS NOTHING. .HIYO NI NAULI TU KUMTOA ALIKO NA KUIFUTA HIYO ELFU 20 ILIPO..KAMA MDAU HAPO JUU ASEMAVYO WAPEWE 50 ANGALAO WANUNUE CHAKULA KIDOGO...PLEASE WATETEENI KWA HILO

    ReplyDelete
  11. Agwe Wawaha... Mwasinuka Welaaa!!! Mdodo wa Kukaya wakutya

    This is an Action Plan being worked on and let it go On . We will re evaluate and improve whenever we find appropriate. Tulieni Ndugu Zangu wala msitie Hofu. Hii ni awamu yetu ya kuwatumikia nyinyi Wananchi na kila tunalo fanya mjue tunalipitia tena na Kuliboresha. Kumbukeni kwamba mikakati youte tunayo ipanga ni Baada ya Kukufikirieni kwamba mtafaidika vipi na mtajikwamua vipi in the long Run. Hatutowaangusha.. Tunaomba Uvumilivu wenu na Ushirikiano wenu na Tuaminiane. Awamu hii ni ya Tano. Ya kukutumikia wewe na Kukuboreshea mazingira ya nyanja Zote husika katika Maisha( Elimu / Afya / Uchumi / miundo mbinu endelevu / na Heshima yako at all Time. Hapa Kazi Tu na Baba JPJM. Tumuombee mungu Safari tumeianza na Ni ndefu.. Kucheleweshwa Hatutaki na wala Hatuvumilliiiii.. Sandenyi Wazelelo. Chokuiona Mitondooooo!!! Karibuni sana Tanzania yetu Mpya!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad