Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kuwa Tanzania Daima wako kwenye crisis kubwa kwasababu watu wanaodaiwa kuwa ni Madalali wa shirika la nyumba la Taifa la NHC wamefika ofisini kwao asubuhi hii na kuanza kutoa vifaa vyao vyote nje ofisini.
Nadhani mtakumbuka siku kadhaa zilizopita mkurugenzi wa NHC ndugu Nehemia Mchechu alimtaja Mbowe kama miongoni mwa wadaiwa sugu wa shirika hilo na kudai alishamuandikia notisi yakulipa deni notisi ambayo imeisha jana.
Mmmh,mbona NHC wanakubali kulipwa hata kwa instalment kwa nini mbowe afikie hatua hiyo jamani?
ReplyDeleteNHC ni shirika letu sisi Watanzania.. Hatukubali na wala hatutokubali kuona watu wanavimbisha matumbo yao na kuleta jeuri huku wanatuibia kimachomacho si mbowe tu hata angekuwa Magu pia tungemfikisha hii hatua tuliyo fika nayo sasa.. Kumbuka malipo yenu/Yetu ndiyo yanayoleta Huduma kwetu na kwenu. Ujanja Hatuuvumilii na Hatuutaki. Mbowe ni miongoni na ni moja katika maelufu ambayo tunayafanyia kazi na hatua mtaziona maghala makubwa hatuna kwa hiyo kila tukumaliza mnada mwingine unafuatia. Mtuvumikie tuko kazini Hapa ni Kazi Tu.
DeleteMzee wa kubadilishia gia angani vepe!! Huyo 'mpigaji' Mbowe yaani mtonyo wote ule 'alovuta' toka kwa Edo haukumtosha?? Huku anajenga UKUTA kule ofisi inaanguka..........pipoooozzz PWAA
ReplyDeleteyy c anakomalia ukuta,mwache yamfike,ala kumbe yymwenyewe ni kimeo,alikuwa halitambui hilokula na kipofu husmshike mkono--huyu makufuli bwaa sio yule waliomzoewea yani yani,na bado KAMUA BABA C WANYONGE TUNAKUOMBEA ULINZI KWA M/MUNGU USIKU NA MCHANA'-AMIINA...
ReplyDeleteHatafu watu wakisema nchi hii inaongozwa kidikteta mnakataa,mtu akienda kidogo na sera za chama tawala anabambikiziwa kesi! hata uwe fisadi wa aina gani lakini unaiunga mkono chama tawala basi wewe utakuwa mtu mzuri sana na siku ukiteleza ukaikosoa serikali basi utaisoma number.
ReplyDeletekama unamwonea huruma mwambie akalipe au mlipie wewe ili majanga haya yaaishe
DeleteNHC ni shirika letu sisi Watanzani.. Hatukubali na wala hatutokubali kuona watu wanavimbisha matumbo yao na kuleta jeuri huku watuibia kimachomacho si mbowe tu hata angekuwa Magu pia tungemfikisha hii hatua tuliyo fika nayo sasa.. Kumbuka malipo yenu/Yetu ndiyo yanayoleta Huduma kwetu na kwenu. Ujanja Hatuuvumilii na Hatuutaki. Mbowe ni miongoni na ni moja katika maelufu ambayo tunayafanyia kazi na hatua mtaziona maghala makubwa hatuna kwa hiyo kila tukumaliza mnada mwingine unafuatia. Mtuvumikie tuko kazini Hapa ni Kazi Tu.
ReplyDelete