Audio Ambayo imekuwa ikisambaa toka jana kwenye mitandao ja kijamii Mwanamke akielezea tukio aliloshuhudia kwamba Kwa sasa ukikutwa gesti mchana Dar unakamatwa kwa kosa la kulala muda wa kazi, polisi walikuwa wanafanya msako Tegeta kukamata watu hao
Msikilize Hapa:
Na lisauti lake lilivyo libaya huyu achukuliwe hatua kwa kutoa habari za uongo zilizojaa unafki na kumuingiza mpka mkuu wa mkoa...sheria haipitishwi na mkuu wa mkoa kwanza sheria inapitishwa na bunge.....pumbavuu kabisa huyu utatoaje habari za uongo hv...
ReplyDelete