Habari ya Kwamba Ukikutwa Umelala Gesti House Mchana Unakamatwa na Polisi

Audio Ambayo imekuwa ikisambaa toka jana kwenye mitandao ja kijamii Mwanamke akielezea tukio aliloshuhudia kwamba Kwa sasa ukikutwa gesti mchana Dar unakamatwa kwa kosa la kulala muda wa kazi, polisi walikuwa wanafanya msako Tegeta kukamata watu hao

Msikilize Hapa:

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na lisauti lake lilivyo libaya huyu achukuliwe hatua kwa kutoa habari za uongo zilizojaa unafki na kumuingiza mpka mkuu wa mkoa...sheria haipitishwi na mkuu wa mkoa kwanza sheria inapitishwa na bunge.....pumbavuu kabisa huyu utatoaje habari za uongo hv...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad