Hivi Kwanini Wanawake wa Kilokole Wengi Wana Roho Mbaya?

Habarini wadau,

Hili nina ushahidi nalo, wengi wao nimegundua wana roho mbaya kwakweli na nina mifano mingi tu.

Yaani hao huwa wanaona kama watu wengine wasio walokole ni waovu tu. Niliwahi kushauriwa kuwa ni bora umuoe msichana aliyecharuka na kupitia starehe zote za dunia akatulia kuliko anayejiita mlokole namimi sasa naamini ule ushauri ni mzuri.

Naamini wapo wanawake wacha Mungu kweli ila wapo neutral kama hawa waroman catholic na walutheri na huwa hawajikuti sana na kujiona watakatifu kama walokole.

Mabinti wa kilokole mbona mpo hivyo? Au ni stresses za makanisani kwenu?
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mrainishe pale chini ataacha ile roho mbaya.

    ReplyDelete
  2. Roho mbaya gani wamekufanyia toa mfano?....mtu yeye ambaye anafikiri yeye ni mcha Mungu kisha akajitangaza kwa watu kuwa yeye ni mcha Mungu. ..Ucha Mungu wake ni wa hapahapa Duniani. .akifa atauwacha hapahapa kwa aliowatangazia..Ucha Mungu ni Imani iko ndani ya kifua chako. .sio promo kama Bongo flava au movie...hakuna mlokole hapa. Mlokole utamuona bila kujinadi

    ReplyDelete
  3. Roho mbaya gani wamekufanyia toa mfano?....mtu yeye ambaye anafikiri yeye ni mcha Mungu kisha akajitangaza kwa watu kuwa yeye ni mcha Mungu. ..Ucha Mungu wake ni wa hapahapa Duniani. .akifa atauwacha hapahapa kwa aliowatangazia..Ucha Mungu ni Imani iko ndani ya kifua chako. .sio promo kama Bongo flava au movie...hakuna mlokole hapa. Mlokole utamuona bila kujinadi

    ReplyDelete
  4. Hao sio walokole,kuwa mlokole ni tabia ya maisha yako ambayo yanampendeza mungu na siyo unafiki.

    ReplyDelete
  5. mwandishi mbona mie nashindwa kukuelewa? If you could be more specific please.How do you explain eti wana Roho mbaya...... how.Any thing short of that,gives me the right to say you got some personal issues.Wonder why this sounds like a shenanigan any way.Wana roho mbaya .... or wengine wacha mungu...... c,mon! By the way your articles speaks volumes about yourself.Actually more about your deep rooted hatred and insecurities.How in the world is it possible that all wanawake walokole wana roho mbaya. Simply put, its impossible.period! Cheesy, Corny and simplistic article.Get your self a job.

    ReplyDelete
  6. mwandishi hujaeleweka roho mbaya ya vipi??

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad