Itizame hapa video mpya ya Diamond Platnumz ft. Rayvanny – Salome

Staa wa muziki nchini, Diamond Platnumz ameachia nyimbo ambayo amemshirikisha msanii mwenzake ambaye yupo katika lebo yake ya WCB Wasafi, Rayvanny ambayo ameipa jina la Salome. Video ameshoot, Nicorux kutoka Afrika Kusini Aprili, 10 mwaka huu, itizamehapa.
Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nothing special with this song, it's too empty

    ReplyDelete
  2. Kiboko ya zote! Bravo kijana#

    ReplyDelete
  3. mbaya haileweki.

    ReplyDelete
  4. stupid Dai, nyimbo haina kichwa wala miguu. ujinga mtupu.

    ReplyDelete
  5. huyu Simba karibu atakuwa kuku, hana jipya siku hizi.

    ReplyDelete
  6. hii nyimbo wameiharibu sana kwa kuweka watu wengi, bila mpangilio. imeboaaaaa!

    ReplyDelete
  7. naona kelele tu, na watu wengi kama wanatangaza nguo walovaa.

    ReplyDelete
  8. Anonymous 12:26. Endelea kukodoa. Ukishindwa jinyonge. What is special in you?? You are ugly,cold and empty. Ha hahahaha wenzio mondi anatuchekeshaga akinyonga...
    R.I.P anonymous 12:26

    ReplyDelete
  9. kwakweli nyimbo mbaya, haina uhalisia kabisa labda alitaka kumtangaza mpenzi wake mpya Hamisa.

    ReplyDelete
  10. ASOJUA MAANA ASIAMBIWE, ZARI HANA CHAKE KWA HAMISA. NYIMBO IMEIMBWA KWA MAFUMBO HUKU AKISIFIWA BI HAMISA. MAMA LEBA KAZAE TUU UJAZE DUNIA.

    ReplyDelete
  11. Du! Hamisa umeninyooshea Bibi Leba, kapata mwenzie kakaa kimya. yaani Hamisa na Hudaah ni kiboko ya Bibi bomba.

    ReplyDelete
  12. Not feeling this song at all.

    ReplyDelete
  13. Watanzania wapumbavu kama nyimbo hii ingeimbwa na mkenya wangesifia sana kwa kweli watanzania ni watu hovyo na twenye roho mbaya. Kwa kweli hii nyimbo ipo katika kiwango cha juu sana hongera sana kwa kazi nzuri na kubwa katika uandaaji wa nyimbo na hapana shaka muda si mrefu nyimbo hii itamsogeza Diamond zaidi kuwa mwa miongoni wasanii bora kabisa kuwahi kutokea barani Africa. Kikubwa zaidi kinachovutiwa katika nyimbo ni jinsi alivyoutangaza utamaduni wetu wa kiafrika hakika hongera sana, Mdau New York city.

    ReplyDelete
  14. I prefer original (Saida Karoli)
    Overall you did okay Dai.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad