Justin Bieber na mpenzi wake Sofia Richie wadaiwa kumwagana

Justin Bieber na mpenzi wake Sofia Richie wameachana.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, chanzo cha karibu cha wawili hao kimesema kuwa Bieber na Sofia hawajaonekana pamoja tangu mara ya mwisho walipokuwa vacation nchini Mexico wakati wa kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Sofia aliyetimiza miaka 18.

Wikiendi hii Sofia alihudhuria kwenye sherehe ya Magazine Party akiwa na marafiki zake. Wawili hao walianza kuwa na mahusiano tangu mwezi Agosti, mwaka huu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad