Kuchanganya Biashara, Uchumi na Siasa Kunatusababisha Tutoe Majibu Mepesi Katika Maswali Magumu

TRA wanapotoa statement kuhusu kupungua kwa mizigo kunakotokana na ongezeko la kodi na kusema kuna Propaganda dhidi yao, kuna tofauti gani na Mbowe kusema kuondolewa kwake na NHC pale Bilicanas ni kwa sababu za kisiasa na kwamba ni kwa kuwa yeye Mpinzani? ....
Tuna tatizo kama nchi.

Kuchanganya Biashara, uchumi na siasa kunatusababisha tutoe majibu mepesi ktk maswali magumu.
#KuanzaUpyaSiUjinga.

By Habib Mchange
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huo ni mtazamo wakotu, unafahamu kuwa mizigo mingi ilikuwa hailipiwi kodi stahiki na ndiyo maana waliokuwa wanaishikwa njia ya ujanja wanakwamisha mizigo kutoupitia bandari yetu. Nchi gani duniani inapitisha mizigo aukupokea mizigo bila udhibiti wa serikali? ilikuwa ni nchi yetu tu na mataifa yote yalikuwa yanashangaa, waache waende na wasipitishe mizigo kwetu ila naamini watarudi hakuna jinsi ili nisuala la mvutanokati ya wenye nguvu ya fedha na serikali lakini naamini watashindwa tu. Serikali na sisi wananchi tulichukulie kama changamoto kwani waliozoea vya kunyonga vya kujinja hawaviwezi. Hakuna kulegeza msimamo hadi hali itakuwa nzuri muda si mrefu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kodi ni kubwa wewe acha kutetea uozo,nchi nyingine zilizokuwa zinatumia bandari ya dar zimekimbilia south Africa,mozambique na Kenya.Wewe endelea kujitekenya.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad