Ni katika kipindi cha Morning Trumpet asubuhi ya leo Prof alipoulizwa ni kwa nini alikuwa mpinzani wa kwanza kumtembelea na kumpongeza Rais Magufuli baada ya kuchaguliwa?
Professa alijibu bila mashaka kuwa Rais Magufuli anamkubali kwa kubeba agenda ambayo ndiyo iliyokuwa ikiwapa kiki wapinzani. Kwa sasa vyama vya upinzani vinaweza kabisa kupotea visipojipanga vizuri.
Hili linathibitishwa kwa mfano na mabadiliko yaliyoletwa na Lowasa ndani ya CHADEMA. Tangu Lowasa alivyoitwaa CHADEMA sijawahi sikia CHADEMA ikikemea UFISADI, sanasana wamegeuka watetezi eti Magufuli anawaonea mafisadi.
Hongera Professa!! wewe na Dr Slaa ndio mmethibitisha kuwa ni wapinzani wa kweli ambao lengo lenu ni maslahi ya taifa na sio wengine ambao lengo lao kwa sasa hata halijulikani.
Mhhh imekuwa hivyo bwana lipu hivi hawa wanasiasa wanatumika kuuza magazeti ndio maana wanatetewa eti siasa ni kazi kama kazi yenyewe nndo hii bora domo lako unajua kulitumia haina haja ya watanzania tufanye kazi tupate kipato kwa jasho na kazi nyepesi ya siasa inalipa viwanda tutavisikiaga kwa wenzetu kwa kugeuza siasa nao ni mtaji
ReplyDeletesi mmeanzisha mahakama..washtakini basi tuwaamini...na asiye fisadi aanze yeye kuwashitaki wenzie....msituchanganye sisi...
ReplyDelete