LULU Michael Atangaza Kuhitaji Kupata Mtoto....

Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth ‘Lulu ‘ Michael amedai kuwa anahitaji mtoto kwa sasa.

Muigizaji huyo ameandika ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagram akimuomba Mungu huku akidai kuwa yupo tayari kwa sasa na anahitaji mtoto.

“Okay…I’m ready noooow😫😫😫😫and I want a Baby Boy😭😭😫In Jesus Name🙏,” ameandika Lulu kwenye mtandao huo.

Kwa sasa muigizaji huyo yupo kwenye mahusiano na bosi wa EFM, Majay.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanaohitaji watoto huwa hawatangazi...sooo tutokee hapa..kila upuuzi lazma muweke kwenye mitandao

    ReplyDelete
  2. Olewa kwanza ili uweze kuzaa mtoto wa halali

    ReplyDelete
  3. Kiki za msimu hiyoooo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad