Mbowe 'Serikali Inaonekana Haina Huhakika nini Kinaendelea Katika Uchumi'

Mbowe amefunfuka haya kwenye ukurasa wake wa instagram:

,"Kwa sasa hali ya uchumi inaonekana kuyumba na biashara kudorora,
Nimeitaka Serikali itoe twakimu kuhusu uchumi kushuka. Waziri Mkuu amesema kwa sasa hawana uhakika na hawana takwimu kuhusu hali ya uchumi kudorora na kudai kuwa watakaa na wadau mbalimbali wa Uchumi ili kujua kama uchumi umeyumba kweli.

Swali langu lingine la nyongeza nimemuuliza Waziri Mkuu, Kwa kuwa Kamati ya Bunge ilienda bandarini na kuthibitisha kuwa mizigo imepungua na wadau ambao Serikali inasema itawashirikisha, wenyewe pia wanalalamika kuhusu hali mbaya ya uchumi kwna sasa;Hoteli zimefungwa, Kampuni zimefungwa, watalii wamepungua na Serikali inaonyesha kuwa haina uhakika na nini kinaendelea,

Je ni Serikali imeshindwa kuendesha nchi?"
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siasa bora iwe siasa hata kwa sisi wadanganyika Mbowe unakesi mahakamani ya kudaiwa pango la NHC vipi utaishauri serikali mambo ya uchumi wakati yako Billion na ushei mali ya umma unadaiwa bila kujali na kuzihiodhi ambazo zingezunguka wananchi wangapi wangefaidika badala yake mnasema pesa imepotea uchumi unadidimia vipi hii inakaaje unaletewa habari za uwongo na mashushuu wako na kuitathimini serikali

    ReplyDelete
  2. Ingekuwa ni demokrasi ya kweli wanayoililia Chadema huyu Mbowe kwa kashfa ya kushindwa kulipa mali ya umma ya shirika la NHC angejiuzuru wadhifa wake wakuwa kiongozi hafai hana uaminifu kwa nchi lakini kwanza ndo anajifanya kama mungu mtu kuikosa serikali kama vile hajatenda kosa hii ni aibu ingekuwa ulaya huyu ni njeeeee kabisa hasitahili kuaminiwa kushika madaraka yoyote hata kuwa kiranja lakini hapa kwa wadanganyika kila mtu mwanasiasa akidadaiwa anachomokea siasa ili kwa wadanganyika aonekane kweli anaonewa kumbe jitu lenyewe bepari

    ReplyDelete
    Replies
    1. Koma wewe
      Serikali yenyewe ina madeni hadi kiama
      Deni la Mbowe umelivalia njuga
      Yatawashinda
      Na Dodoma kuhamia vishindo tu
      Hamuwezi kufanya mambo yote kwa mkupuo
      Plan ni zero

      Delete
    2. Anony 6:26 PM Bora serikali ina madeni kwa ajili ya kukuhudumia wewe usie na shukurani barabara, maji umeme, hosipitali na mashule yote inagharamia serikali sio vingenevyo sasa ikiwa kama kina mbowe wanamadeni ni kwa manufaa ya nani isipokuwa kwa mtu kama wewe msema bure mshahara wako ni huo ujinga

      Delete
    3. Mjinga uchwara Kama walivyo
      Wengine wote

      Delete
    4. Mjinga wewe na awamu ya Tano fyuuuu

      Delete
  3. Zipo sababu nyingi zinazoweza kuchangia mdororo wa uchumi, kubwa ni ukwepaji wa kodi, kama taasisi moja inadaiwa hadi Billioni mbili za pango unatarajia nini kitokee?, Mheshimiwa toa boriti katika jicho lako kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli Mkulima upinzani hapa kwetu badoo kabisa wapinzani wajishafishe wasiwe na kasoro ili wananchi wawaamini sasa kama huyu Jamaa kabaila sasa ikishikwa nchi na watu kama hawa wanyonge tutakufaa njaa maana kila mahali ni wapiga dili na kujaza matumbo yao hakuna mtetezi wa wanyonge na haya madeni wanaodaiwa hakuna mtu wakuhoji nani mwenye ubavu wa kumhoji mwenyekiti hata kama raisi ni Lowassa hataweza kuingia anga zake hata hizi kasoro anazokosoa serikali tunashaka nazo ni afadhali siasa na biashara vingetenganishwa mfanya biashara akiwa kiongozi haki inapotea kwa raia ndio maana chadema wanapotosha kuwa serikali haifai lakini chadema haifai mara sabini kwa sababu ni chui aliyejivika ngozi ya mwanakondoo

      Delete
  4. Inazidi kunitia wasa wasi, Ikiwa Pango anatuibia hivi. Je KODI HUKO TRA AMESALIMIKA HUYU!!!!!!!! Naomba arudishwe katika uaminifu kabla hatujafikia ukingoni mwa ukuta. Mwisho ni madongo polomoka... TRA Kazi mnayo na kurudia ulipaji halali na mapitio ni Wajibu wenu na lengo ni ukusanyaji halali. MAGUMASHI NA DILI... HATUZITAKI NA TUMELIKATAA HILO. Wachapa kazi ingieni Kazini.. Hapa Kazi Tu

    ReplyDelete
  5. Mie hata naelewa?? WeWe una Sistaglamu!! na yule mwenzako uliyemfukuza kule ana Fesibuku!! sasa nani kashinda?? au bado mnafukuzana.... Mnijulishe tu atakae fika ukingoni wewe au yeye... Hapa Kazi tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad