Mbunge wa Tarime John Heche Ashawishi Bunge Kuridhia Posho za Kikao cha leo Zipelekwe Kwa Wahanga wa Tetemeko

Mbunge wa Tarime John Heche (UKAWA-Chadema) amefanikiwa kulishawishi bunge kuridhia posho za leo tarehe 13 za wabunge zipelekwe kagera kwa wahanga wa Tetemeko.
Katika hoja yake mbunge huyo machachari amewataka wabunge waondoe tofauti zao na kukubali posho zote za wabunge leo zikasaidie wahanga hao wa tetemeko.
Wabunge wote kwa pamoja bila kujali tofauti zao wameridhia hoja hiyo kwa asilimia mia moja
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MUNGU AWABARIKI SANA,

    ReplyDelete
  2. Safiii kumbe mnajifaham? Sasa kwanini hua mnajitoa akili hivyo ndivyo uongozi mzuri. Safiii sana lazima mue kitu kimoja

    ReplyDelete
  3. Mungu awabariki sana, good idea

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad