Mwanamuziki wa Bongo Fleva apandishwa kizimbani kwa kuimba wimbo wa kichochezi

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Fulgency Mapunda maarufu Mwana Cotide amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kwa tuhuma za kuimba na kusambaza wimbo wenye maudhui ya kichochezi.

Mwana Cotide ameiamba wimbo wenye jina “Dikteta Uchwara” ambao aliusambaza kupitia mtandao wa YouTube kitu ambacho kinavunja sheria ya makosa ya mitandao
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani hata wimbo pia mnawapeleka wananchi wenu mahakamani kazi kubwa democray ya Tanzania Baab kubwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad