Mziwanda na Shilole Waeleza Kilichotokea Mpaka Wakapostiana Instagram Jana

Nuhu Mziwanda na Shilole Katika Pozi la Mahaba
Wasanii wa bongofleva Shilole na Nuh Mziwanda waliwahi kuwa wapenzi lakini wakaachana na baada ya hapo Shilole alionekana kutotaka hata kusamiliana na Nuh japokua walifikia kupatanishwa.

Banda ya haya yote September 15 2016 wawili hawa wamepostiana Instagram kwa mara ya kwanza toka kuachana kwao, hapa chini ukibonyeza play utawasikia wakieleza ilivyokua mpaka wakapatana.

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shilole zungumza kiswahili mpaka hapo utapokuwa unajua kiingereza vizuri. ....no probrem.. badala ya ..no problem.. ha ha ha

    ReplyDelete
  2. Nenda shule weweeeee acha mambo ya kipuuuzi wewe sio mwanasiasa nyang'au weeeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad