Namanga: Edward Lowassa asimamishwa na wananchi wamweleze ugumu wa maisha

Mh Edward Lowassa Mjumbe wa kamati kuu wa chama Cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA ) na Chama kikuu cha Upinzani TANZANIA na Waziri Mkuu mstaafu amesimamishwa na Wananchi wa Namanga Mpakani mwa Tanzania na Kenya . 

Wananchi wamemueleza Ugumu na ukali wa Maisha walionayo ikiwa ni pamoja na kudorora kwa mzunguko wa fedha mpakani hapo leo hii akiwa safarini Toka Nairobi Kenya alipokwenda kuhudhuria mazishi ya Marehemu Ole Ntimama.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa yeye atafanya nini atoe hela yake mfukoni awape

    ReplyDelete
  2. Jiungene na chadema na mjiandikishe kupiga kura uchaguzi 2020

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad