Prof. Lipumba: Sing'oki ng'o. Mimi ni Mwenyekiti halali CUF, Kikao kilichonivua uanachama ni batili

Katika mahojiano na sauti ya Amerika VOA Swahili jana jioni, Mwenyekiti aliyejiuzulu wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa yeye bado ni Mwenyekiti halali na kikao kilichomvua uanachama ni batili.

Akihojiwa na mwandishi wa habari mahiri Sunday Shomari, Mwenyekiti huyo aliyejiuzulu amesisitiza kuwa yeye bado ni mwenyekiti halali kwa mujibu wa katiba ya CUF na kikao kilichoongozwa na Mhe. Katani huko Unguja ni batili na yeye anaendelea na shughuli za kichama kama kawaida.


Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu Mzee apumzike tuu kashakua Na ndimi mbilimbili sasa Na ametumwa kuvuruga upinzni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mh.Lipumba.. Hapa umeshafika na Karibu sana na unaweza kuanza kupanga Majukumu yetu ili tuchape Kazi. Mwenyekiti wetu Karibu sana..tuko pamoja katika kuimarisha chama hususwani kule Bara na Pemba yetu, Miongozo yako nidiyo mafaanikio yetu.

      Delete
  2. Replies
    1. Mh.Lipumba.. Hapa umeshafika na Karibu sana na unaweza kuanza kupanga Majukumu yetu ili tuchape Kazi. Mwenyekiti wetu Karibu sana..tuko pamoja katika kuimarisha chama hususwani kule Bara na Pemba yetu, Miongozo yako nidiyo mafaanikio yetu.

      Delete
  3. Kipindi cha uchaguzi ulikimbilia Rwanda eti kujifunza uchumi!! Ulirudi na cheti gani??

    ReplyDelete
  4. Tatizo una ngangania kubaki kwa ajili ya ruzuku masilahi yako zaidi...achia ngazi babu wee na wengine wafaidi profesa mzima brain zero.

    ReplyDelete
  5. Wewe jitu zima ovyo
    Eti professor tena wa uchumi
    Huoni hata
    Unacho mchukia lowassa kipi
    Mlikuwa wote chuo jifunzeni kwake
    Alionewa CCM akahamia chadema na ameleta neema ukawa japo humpendi
    CUF
    Hakuna aliyekufukuza
    Uliondoka kwa vishindo
    Kama kweli mwanaume anzisha chama chako CCM
    Utapata mtaji
    Lakini CUF ngoooooooooooooo
    Msajiri na uchwara wengine wote wanaokukingia kifua nyote mu wachawara
    Mpunga chuya
    Mkapa alisema

    ReplyDelete
  6. Mh.Lipumba.. Hapa umeshafika na Karibu sana na unaweza kuanza kupanga Majukumu yetu ili tuchape Kazi. Mwenyekiti wetu Karibu sana..tuko pamoja katika kuimarisha chama hususwani kule Bara na Pemba yetu, Miongozo yako nidiyo mafaanikio yetu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad