Stori ya Kusikitisha ya Mwanamuziki Rah P Baada ya Kuwa Mapenzini na Mwanamume Muuza Madawa ya Kulevya

Ni stori ambayo aliitoa kipindi cha nyumba kidogo lakini leo nimeona niwaletee na ninyi mtazame akielezea kilichomkuta na mpaka kupotea kabisa katika anga za muziki wa Bongo Flava.....Its so touching yaai i cant watch this twice. she is a good woman, really strong african woman i like her style, naona rap style yake imebadilika. i like the song Ushaurinwa bure, I think she can do wonders akifanya talk show. there are so many women going through such paths, imagine hearing these stories from Tanzanian women waliopo Tz
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh!! haya bwana America with probles ok!! better to live in tz in my mother land with milk and honey.... haya endelea ku hustles.. ukirudi utatukuta tunaendeleza ujasiria mali hapa hapa bongo country.

    ReplyDelete
  2. lakini hapo alipo anaonekana anayo maisha mazuri anishi sehemu nzuri na gari nzuri anaishi american dream

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad