Tukate Mzizi wa Fitina : Tunda na Lulu nani Kisu zaidi

Leo nataka tukate mzizi wa fitina kati ya Tunda na Elizabeth Michael Lulu nani kisu zaidi kuliko mwingine..Wote wanasumbua mjini kwa sasa.....
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wote wawili ni vicheche au nganju yangu

    ReplyDelete
  2. Cheupe Tunda ndiyo kila kitu yaani yupo cut sana kuliko Lulu yuko kawaida tu, warembo wa video vixen ndiyo bomba sana, huyo Tunda, na Hamisa Mobeto na Agnes Masogange ndiyo habari ya mjini kwanza huyo Lulu ana urembo gani wa kufananishwa na Tunda? mrembo Tunda ni mrembo nature ni mweupe sana bila mkorogo yaani hajichubui kama akina Lulu

    ReplyDelete
  3. Tunda ni Tunda tu linaliwa unapata Vitamini . Na Lulu ni Lulu mwenzie Johari unavaa unapendeza ama Sivyo Wadau??

    ReplyDelete
  4. Tunda ni Tunda tu linaliwa unapata Vitamini . Na Lulu ni Lulu mwenzie Johari unavaa unapendeza ama Sivyo Wadau??

    ReplyDelete
  5. Kwani vipi? ambu watupe sssssssssssssssssssscurrent Staus zao au CV ili tusimzulumu yeyote katika kukata mzizi kama upo au Bifu ya Kongwa launch heavy!! tunasubiri

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad