Utafiti wa Twaweza: Watazania 96% wanampongeza Rais Magufuli

Taasisi inayojishughulisha na kufanya tafiti mbalimbali nchini ya TWAWEZA. Leo imetoa ripoti inayoonyesha kuwa asilimia 96 ya Watanzania wapongeza utendaji wa Rais Magufuli, huku asilimia 68 wapongeza uwajibikaji wa wabunge wao.

Aidha katika ripoti hiyo inabainisha kuwa jambo maarufu alilofanya Rais Magufuli ni uondoaji watumishi hewa huku zuio la kuingiza sukari likikosa umaarufu.

Kiwango cha kukubalika cha Rais Magufuli katika utafiti mpya ni cha juu kuliko marais 128 wa Afrika.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Yani mimi kitendo cha kulia kwa hata wale ambao kwao hela/pesa zilikuwa kama punje za mchele kwenye gunia ndio kimenifanya nimpende ngosha sanaaaaaaaa.
    Khah!tulizidi kutambiana mwenye nacho na asie nacho,Mungu mbariki JPJM.

    ReplyDelete
  2. Hata mimi huu rais namkubali hata kama siko mtanzania ila huwa nafatilia sana siasa za TZ. Hongera kwa watanzania wote kwani mmepata jembe na marais wengin waige mfano wake. Asipo badilikainchi ya TZ itakua kivutio ulimwenguni.

    ReplyDelete
  3. Yap!Hasa akiweza kuwawezesha wafanyakazi kuweza kumudu maisha itakuwa pouwaaaaaaaaaaa.Maana duuh,nimeenda Kenya kikazi (Nairobi)nimetamani kurudi kabla ya muda kwisha,maisha magumu mmno.

    ReplyDelete
  4. Dah wapinzani povu lwaaaaaaa

    ReplyDelete
  5. Hongera rais wetu mpendwa kazi moja kwa moja. Mungu akuzidishie nguvu na afya njema. Uzidi kutuletea matumaini. Kwani nina imani nchi yetu Chini ya uongozi wako itafika mbali.

    ReplyDelete
  6. Wallah utafiti wa mwendokasi!!

    ReplyDelete
  7. Huwezi kuubeza utafit ukiwa umenyoosha miguu kwenye kiti badala yake nawe ufanye utafit

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad