VIDEO: Alichokizungumza JPM Kuhusu Maalim Seif Kukataa Mkono wa Rais Shein

Kituo cha TV cha Azam TV kimeripoti kwamba September 3 2016 Rais Magufuli akiwa kwenye ziara yake visiwani Zanzibar ametoa hotuba ambapo amemshauri Rais wa Zanzibar kuwa mkali zaidi huku akizungumia tukio la Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif kukataa mkono wa Rais Shein wakati akimsalimia.

’Kama mtu anaukataa mkono wako na wewe kataa mkono wako kufanya mambo yake, ajifunze ajue mkono wako una thamani, haiwezekani mbele ya watu unashike mkono anakataa halafu unatoka ofisini unasema unasaini hapa hela ya huyu kwenda kutibiwa’:-JPM

Unaweza kutazama hii video hapa chini kutazama ilivyokua.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Toba ndugu usikufuru wewe hapo uliyoyazungumza kwa jaziba ndio wakulaaniwa hapo una ingiza udini huwezi kuita mtu kafiri ila unasababu zako maalumu ni akheri ya kafiri anayekufaa kuliko muisilamu asiyekufaa wewe unaona bora uisilamu wewe mwenye hufai kuwa mwisilam jaribu kuhesabu yako umtendeayo Mola wako yakufae akhera ya Magufuli ni mtihani kukujaribu wewe mshezi mwisho ya yote jahanamu inakusubiri kwani aliyemuweka pale ni yeye sio wewe au yule

      Delete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. Na nyinyi mnaojiita interijinsia kazi yenu kutisha watu na kukamata watu kisa Magi Foool kataniwa au kutukakanwa
    Nkamateni mimi muone vumbi lake
    Pumbavu polisi uchwara nyie

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad