VIDEO: Mama Wema Aeleza Beef yake na Man Fongo Kisa……..

NI Mama Wema Sepetu ambae ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa nyimbo za singeli, Man Fongo.

Sasa hapa tumefanikiwa kuipata video ikionesha Mama Wema akieleza tofauti yake na msanii huyo na kusema..

Kwanza kama utakuwa umesoma SMS yangu niliyomtumia nilimwambia kwamba Amani nakuheshimu sana hasa baba yako ambae mpaka sasa namuheshimu ila matusi ambayo umeanza kunitukana huko ulipo nimeyapata sasa endelea’

Sasa mimi ndio wakumshtaki maana amenisema vibaya huko walipokuwa na watu wake ziarani nimeumia sana mimi kama mzazi, Manfongo bado  mtoto mdogo sana kwangu na mimi’-

‘Kwa upande wa Man Fongo alisema…‘Wamemtumia meseji mama yake na Wema kwamba ninaisema familia yake wakati mimi Manfongo muhuni na muhuni siku zote hatuna muda wa kumzungumzia mtu, riziki yangu naisaka tangu nipo kitaani sina muda wa kujibishana na watu sasa Mama Wema ananitumia meseji za matusi’

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video Mama Wema Sepetu akieleza tofauti yake na Man Fongo

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mzee British achana na hayo mambo baba,
    Huyo ni mama wa media,ona kwanza anavyoongea tofauti na wewe baba.
    Mwambie Man fongo akaombe msamaha (akubali yaishe).

    ReplyDelete
  2. daa.. sasa mama unawezaje kujibishana na watoto wadogo hao?kwani ukikaa kimya utapungua kilo.umri wako si wa kukusikia kwenye mitandao kila siku..daa..waachie kina Wema hayo...

    ReplyDelete
  3. Huyo mama ni chizi kabisa, huwezi kupewa heshima kama wewe mwenyewe huji heshimu. Jitambue mama.

    ReplyDelete
  4. Eti Man Fongo akaonge hahaha.
    Hata Wema akaoge majanaba. Mcxxxx. Mtu mzima ovyooooo

    ReplyDelete
  5. HIvi unaweza kuamini kuwa mwanamke wa hovyo kiasi hiki aliwahi kuwa mke wa Balozi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuwahi kuwa mke bali hawala, Mhe. alikuwa na mke halali wa ndoa mpaka kifo ambaye ni mzungu. Huyu mama akaenda kuharibu ndoa ila hakubahatika hata kuchumbiwa na yule mzee. Ndio maana ni mtu wa ajabu ajabu, historia yake ukipewa utazimia.

      Delete
    2. Hahaaa anonymous8:00pm. You made my day. Tangu lini baamedi akawa mke? !. Limama malaya na limezaa malaya. Na kiswahili chake cha kilugaluga. Mchafuuu. Mbwa koko wa singida. mcxxx

      Delete
  6. Kwa kweli haya ambo yalikuwa si ya kufika mbali kote, vijembe havikua na nafasi. Man fongo komaa na mziki wako na wewe mama wema achana kulumbana na watoto wadogo hao utajishushia heshima yako

    ReplyDelete
  7. Kweli huyu mama hajiheshimu hata kidogo, mambo ya watoto yana kuhusu nini? wewe ingia shamba au bustani ya mboga lima, mchicha, biringanya na nyanya upate chakula cha kula. Jiheshimu ndiyo utaheshimika.

    ReplyDelete
  8. Sioni sababu huyu mama kuingilia mambo ya watoto, fanya yako mama jiheshimu na utaheshimika,ingia shamba/bustani lima mboga mboga hata zikusaidie chakula.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad