Wananchi Waliopo Dar es Saalam Kupatiwa Matibabu Bure

Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Saalam iliyo chini ya mheshimiwa Paul Makonda imeratibu tukio maalum litakalofanyika siku ya tarehe 24-25/09/2015 kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja. Ambapo wananchi watakaojitokeza kwenye tukio hilo maalum watapatiwa matibabu bure.

Taarifa iliyotolewa na mkuu wa mkoa kupitia akaunti yake ya Instagram imeeleza kwamba wananchi watapata fursa ya kupimwa magonjwa zaidi ya kumi (10) na kupatiwa matibabu bure.

Hivyo wananchi wote wanaombwa kujitokeza kwa wingi.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tufanye kazi kwa ajili ya serikali
    Tuache kujitangaza binafsi
    Hizi ni huduma zinatolewa na serikali hajilishi ni serikali gani ipo madarakani
    Tuuache ubinasfi, uchama
    Tufanye kazi kwa katiba ya Tanzania kwa Watanzania
    Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍👍👍

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad