Wasanii wa Bongo Fleva Ambao Wakishirishwa Ngoma Lazima ibambe Mtaani.

Kwa mtazamo wangu nadhani hawa ndiyo wasanii wa bongo fleva ambao wameshirikishwa kwenye nyimbo bila kuharibu na wakati mwingine kuzipaisha ngoma zenyewe.

1.Alikiba.
2.G.Nako
3.Barnaba boy.
4.Rich mavoko.
5.Juma jux
6.Diamond
7.Navy Kenzo

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umsahau vichwa vikali sana....Joh Makini, Prof Jay na Blue, Na The late Albert Mangwea.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad