Wasichana kunigombania siyo dhambi – Steve Nyerere

Msanii mkongwe wa filamu Steve Nyerere amedai wasichana kugombana kwa ajili ya staa ni jambo la kawaida hivyo yeye ashangai kusikia bado kuna wasichana wanagombana kwa ajili yake.

Akiongea katika kipindi cha Uhondo cha EFM wiki hii, Steve Nyerere amedai ameshazoea kusikia wasichana wakigombana kwa ajili yake.

“Unapozungumzia kuna watu waligombana kwa ajili yangu, kwangu mimi kama staa inawezekana labda wameonyeshana kwenye picha, huyu ndo mpenzi wangu,” alisema Steve. “ Lakini unapokuwa super stars kuna watu wanampenda Will Smith yupo Marekani, kuna wabongo wanapigana kwa ajili ya Kim Kardashian. Kwa hiyo mimi nataka kusema inapofikia sehemu fulani ya mafanikio na watu wakakujua siyo dhambi kuongelewa, hata kwangu siyo dhambi, mimi napenda waendelee kuniongelea hivyo na kunipigania hivyo kwa maana ni staa,”

Mwigizaji huyo amesema kwa sasa anaishi na mwanamke na pia ana watoto.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Greeeeeeeediiii
    Nasikia pressure
    Kwa kitu gani ulicho Nacho bwana wewe
    Hatujasikia wala kuona wala kunusa harufu yako

    ReplyDelete
  2. Nawashangaa hao wanagombea ufunguo wa posta
    Hata kama pesa
    Pesa yenyewe ya msimu!!!!

    ReplyDelete
  3. Steve... wewe Na King Majuto / King Kiba na JB na Wema na JB. Ndiyo Mastaa wa Kutisha .. Hongera Sana wakongwe.

    ReplyDelete
  4. Mchumia tumbo WA ccm Hana lolote huyo, kwanza kwa mwili wake alivyo anaonekana hakosi kibamia

    ReplyDelete
  5. hi takatakaa uchafuu mwomba pombe bar na pesa yakulaa mpuuzi atoke hapaakibabuuu virusiiii

    ReplyDelete
  6. wewe uliyeandika kuwa Steve ni muomba pombe bar, kwa wasanii ni jambo la kawaida siyo kuwa uwezo hawana sababu ni wasanii wanafikiri wanaweza kupewa vitu bure kama Marekani kama Irene Uwoya uwezo anao sana mpaka magari anayo lakini siku moja kamuibia simu jamaa mmoja aliyetoka nae nje huyo jamaa alimpeleka Irene mpaka mahakamani na waliandika hilo tokeo hapa kwenye huu mtandao sijui hiyo kesi iliishia wapi tena iliandikwa katika magazeti kuwa wasanii huwa wanaombaga hela ndogo tu wakati uwezo wanao kuliko hiyo hela wanaombaga

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad