Mwanadada Wema akiongea na kipindi kimoja cha redio leo mchana alipoulizwa yapi maoni yake kuhusu wimbo mpya wa Salome alisema wimbo ni mzuri sana na alitakiwa kufanya video lkn ilibidi walipe mil 75 kama gharama za yeye kutokea kwenye video lkn WCB walitaka kutoa mil 50 ndipo aliposhauriana na uongozi wake na kuamua kukataa.
"Ni kweli ningetokea kwenye video hiyo lakini walitoa pesa madafu,kaka mtangazaji siwezi kuuza sura kwa mil 50,ebu fikiria nimetumia karibia bilioni kutengeneza jina langu,nina biashara za mamilioni,leo Nassib anataka kunipa mil 50,that is not fair kwa kweli"
Mdau yapi maoni yako kuhusu gharama za huyu mlimbwende?
Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa
19
September 20, 2016
Tags
Mbona hatuoni majumba au mambo makubwa anayomilik then anatuambia amekataaa mil 50? Watu wanakosa hata hela ya kula ye anakataa mil 50,Kama ni kweli basi MUNGU ANAMUONA!
ReplyDeleteHahaha Wema angependeza as video queen na matako yake manne...
DeleteACHA WEWE UONGO!! UMEULIZWA?
ReplyDeleteWema, Wema, Wema acha uongo hata bongo Movie kwenyewe hujawahi kulipwa milioni 75 au milioni 50 ndiyo itakuwa muziki video, na kama una biashara za mamilioni mbona gari limekushinda kuligomboa na kama unayo hayo hayo mamilioni kwa nini usijenge mjengo wako mwenyewe na kama unayo hayo mamilioni kwa nini ulishindwa kulipa kodi ya umeme mpaka ukafukuzwa nyumba uliyopanga Uwe unafikiria kidogo kabla ya kuropoka hovyo maana watu tunakucheka unavyodanganya hovyo mitandaoni ni aibu kweli kweli tangu Diamond akuache umepotea njia ulivyokuwa na Diamond ulikuwa umeisusa mitandao ya kijamii ulikuwa hauna mipango nayo ulikuwa unaringa mwenyewe yaani ilikuwa mpaka utafutwe leo hii wewe mwenyewe unajianika mitandaoni kila kukicha ha ha
ReplyDeletegazeti kasome na wazazi wako nyambafu
Deletewewe anony 2.53pm imekuchoma mpaka umeisom YOTE ha ha ha ha ha acheni umalaya na uongo.
DeleteJuzi juzi niliona katika kipindi cha kamatakamata ya Tanesco ITV wametinga katika nyumba yake anayopanga baada(kwa mujibu wao) kugundua ni mwizi wa umeme kwa kuchezea mita.KULIKUWA NA ASKARI walioambatana na TANESCO..Full kikosi..PIA.Sijui iliishia wapi..alilipa faini au..maana nilitarajia nimuone Mahakamani kwa kuchezea mali ya shirika nakujipatia umeme bure.Watu tunalazimisha kupikia umeme,kuishi maisha yakisuperstar kumbe hatuyawezi hatimaye tunatumia njia haramu...Ni vizuri kuishi kwa kiasi chako na usiishi kwa kushow OFF..Itakufanya utafute pesa kwa njia haramu ili usishuke status..
DeleteWatch out guys..Time has changed and the regime has changed...
hapo umeongea mdau wangu, hapo umeleta mapovu, big up
DeleteUpuuuuziii kweli...
ReplyDeleteKujeng nyumba ni hiari wa mtu, niwangap weny uchafu wa pesa ila hawana nyumba ao gar lakutembelea? kulipa umeme hio ndo utamadun wa kiafrika kulipa kodi ni vigum sana kwa wat wa afrika ni matajir wangap hapo afrik hawalipi kodi? Ndo mazoea hat awe na pesa zisio hesabik atatak tuu vya bure. Kutogomboa gar haimanish kam han mkwanja hapan anahesab pesa aliz inunua na hizo atakaz toa ili aigomboe labda ina hitilaf fulan huwez jua so akaon ni nying. Mbon huk ulay weng tuu wanaachia gar zao gereji na wananunua zingin? kila mtu anahesab zak, sio vizur matus bil kufaham kwa nini huu hafany hik ao kafany hikii.
ReplyDeleteMdau wewe kweli umesema ni matajiri wengi sana huku Africa. Hawataki kulipia kodi, hata kama ameingiza malesakene mengi kama mchanga, atazidi yabana na kuyachungulia tu, kodi ztalipwa na masikini, tajiri ndio atachowaza
Deletehana hela full stop, acheni ujinga wa kufukia ujinga.
DeleteHakushirikishwa kabisa kwa hili,Dai anamuogopa sana na hataki kumuudhi Zari,Wema sio wa kukataa kazi za Dai,maana hata bure bila hela angefanya,Wema kwa Nasib kaoza.
ReplyDeletekwasababu wewe ndio unashikilia mioyo yao, ushabiki njaa unakazi
DeleteHuyu aliyejibu hapa juu ni WEMA MWENYEWE...By houseboy wa hayati Sheikh Yahaya..
DeleteUPUUZI MTUPU!!!
ReplyDeleteNi kweli lkn mabeto kapendezesha zaidi na mashaalah ana rangi nzuri
ReplyDeleteHivyo hiyo ledion ilikuwa claudi Fm au Efm? manake TBC haikuwemo katika mahojiani au Millard?? Mtujuze basi.
ReplyDeleteeti amekataa milioni 50 si ndiyo huyu alisema kuwa Diamond anaweza kumuoa bure kipindi kile wakipokuwa pamoja au amesahau?
ReplyDelete