Wema: Nitalipa Pesa Matibabu ya Baba diamond

Kwa kuonesha hana kinyongo na ex bf wake Wema sepetu amesema kuwa atapigana kufa na kupona mpaka pale hali ya baba yake diamond itakapo tengemaa

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ana tafuta kiki tu hana lolote

    ReplyDelete
  2. jamani mbona mama diamond alisema mzee anapewa huduma zote na diamond??? haya yanatoka wapi tena??

    ReplyDelete
  3. Wema anatataka radhi ya babamkwe ili aweze kumbembeleza Chibu arudiane nae,jamani kwenda jando kuna manufaa yake!

    ReplyDelete
  4. huyo baba Diamond atakuwa ni muongo maana mama Diamond siyo muda mrefu alisema kuwa baba Diamond anapata hela ya matibabu na pia wana mawasiliano na huwa anaenda kumtembelea naona huyo baba Diamond anataka kumuharibia sifa Diamond ili Diaomond aonekane mtu katili huyo baba Diomond hatosheki na huo msaada anaopata anataka aishi maisha kama anayoishi Diamond

    ReplyDelete
  5. Wewe Wema hata kama ukimsaidia baba Diamond hela ya matibabu Diomond hakurudii tena umeshajaribu kufanya vitu vingi ili Diamond akurudie lakini imeshindikana Diamond yupo na furaha sana na huyo aliyekuwa nae sasa hivi ndiyo kwa mara ya kwanza ndiyo namuona Diamond akicheka kila wakati wakati alivyokuwa na wewe Wema sikumuona Diamond akiwa na furaha au akiwa happy na mara ya mwisho kabla Diamond akuache naona alikuwa na wewe sababu ya mashabiki tu walitaka hivyo lakini siyo mwenyewe Diamond, Wema move on Diamond hakurudii ingawa mashabiki wengi hawamfagilii Zari lakini Diamond ndiyo kapenda hapo na ndiyo Zari anamfanya awe na furaha na ndiyo kitu cha muhimu sasa hivi anajijali yeye mwenyewe siyo kupangiwa na mashabiki

    ReplyDelete
  6. Ndio hivyo Dogo kapata true love wake ulichezea bahati yako basi tena.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad