Wema Sepetu Huijui Mtwara au Dharau Kwa Wanamtwara?

Wakati yuko Tanga mkwenye usiku wa vgoma alipew nafasi na MC ili azungumze machache, pamoja na mengine aliyozungumza nimekwazika sana jinsi alivyoitamka mtwara eti tukitoka hapa Tanga tunaelekea huko sijui, MAMI-MTWARA sijui huko kwa wamakonde, hivi bi mdada huyu ni kweli hajui MTWARA inatamkwaje au ni dharau yake tu kwa wanamtwara? Ukiendelea na dharau zako hizo show zako za baikoko zitakudodea!

By PACHOTO/JF

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hebu kwendraaaaaa pumbavuuuuu pale alikuwa anatamka kwa madoido tuuuu usilete chuki zako hapa..pale alisema mamitwar twende makigoma alitamka kama mikoa mitatu aksema mamoshi...ni alitohoa tu kisw..sasa we yu have personal issues usilete hapa...let her be...stupid fool...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad