Abdu Kiba Ampa Mimba Mwanafunzi wa Miaka 19 na Kumtelekeza..Binti Aelezea Tukio Zima

Abdu Kiba anashtumiwa kumpa mimba mwanafunzi, mwanafunzi huyo anadai walikutana Instagram, kisha akampa namba yake ya simu wakawa wanachat WhatsApp ndipo walipoendelea kuwasiliana hadi kukutana na kuja kufanya mapenzi na sasa hivi amemruka

Angalia Video Hapa Binti Akielezea Tukio zima mpaka kupewa Mimba

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yaani hamuogopi ukimwi kukutana na mtu instagram mtu hambayr hata humjui na kulala nae kavu kavu hadi kumpa mimba du dunia imekwisha

    ReplyDelete
  2. Huyu bint muongo kabisa ukisikiza vizuri maelezo yake. Kwanza kanaonekana kachangu tu, mtoto wa geti kali atalala nje, pili uliona wapi mtu alale leo na mwanaume siku ya pili tu aanze kusikia kichefuchefu? Labda kama mimba anayo ni ya siku nyingi asitafute kiki

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad