Ali Kiba Ataja Sababu iliyomfanya Asioe

Alikiba ameitaja sababu iliyomfanya ashindwe kumuoa mwanamke yeyote kati ya watatu aliozaa nao.

Hitmaker huyo wa Lupela alisema kuwa hakupenda kulazimisha iwe hivyo.“Unajua hauwezi kumuoa mtu kama hamuelewani.

"Nia yangu ilikuwa ni kustick na kila mama wa mtoto wangu toka nilipoanza. Lakini mambo yanaenda tofauti, huenda tunapogombana anatafuta mtu mwingine,” anasema Kiba.“Kwahiyo hautakiwi kuforce mapenzi, mimi nataka nikae na mtu ambaye tutaelewana,” ameongeza.

Alikiba ana watoto wawili wa kike, Amiya Kiba, Chamy Kiba na mmoja wa kiume, Sameer Kiba. Wote ni watoto wa mama tofauti.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio ujanja huo kijana unadhani wao ndo wana madhaifu na ww ndo mtakatifu kumbe ww ndo kimeo kabisa wa kutupwa ndo maana hata muziki wako haukui kwenda popote....endelea kujiita king na huo ufuska wako

    ReplyDelete
  2. @kagera simeon diamond anazini na zari na hakuna baraka yyte kwake ila ntihani kumbuka filauni alikuwa tajiri mkubwa mali no baraka lea wanamtii Allah lea wazinifu ni jahanamu lol

    ReplyDelete
  3. DUU KAZI KWELI KWELI

    ReplyDelete
  4. KIBA, DIAMOND wote wanajiita waislamu na kwa wao wanayoyafanya ya uzinifu wa show wanaona ni fahari na hawana wa kuwakumbusha. mbora wenu ni yule anayeusia nafsi yake na kuwausia na wenzake. mauti ni mazito!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad