Alikiba na Wizkid Nusura Watie Doa Show ya Chris Brown Mombasa...Watunishiana Misuli

Wanamuziki Alikiba na Wizkid walitunishiana misuli juu ya nani aimbe kabla ya mwenzake kwenye show ya Mombasa

Alikiba alikataa kuimba kwanza kwa madai kuwa yeye ni mwanamuziki mkubwa Kenya kuliko Wizkid, kwahiyo hastahili kuimba kabla ya mwanamuziki huyo kutoka Nigeria

Baada ya vuta nikuvute hiyo Alikiba aliibuka mshindi kwani Wizkid alipanda jukwaani kabla ya Alikiba.

===============================

Show of might and abrupt ending of performances marred Saturday’s much hyped show that was headlined by American singer Chris Brown, Nairobi News can reveal.

Sources say that there was a standoff when Tanzania’s Alikiba declined to perform before Nigeria’s Wizkid.

“Kiba felt he is bigger in Kenya than Wizkid hence he could not understand why he was scheduled to perform before,” said our source.

In the end, Alikiba had his way, which saw him perform after Wizkid and just before Mr Brown
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona mnapenda kukuza mambo uasio kuwepo fateni yenu wacheni umbea king kiba is the best nyinye mumeshazoea umbea

    ReplyDelete
  2. Mbona kama kiba ni mnyonge vile,anaonewa kila mara.duuh

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad