Baada ya Kuachana na Mbunge wa Donge,Wastara Arudiana na Mpenzi Wake wa Zamani

Mwigizaji Wastara aliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari Tanzania kutokana na ndoa yake kuvunjika ndani ya siku 80 akiwa kaolewa na Mbunge wa Zanzibar.

Kabla ya ndoa hiyo Wastara alikuwa kwenye uhusiano na mshikaji ambaye ni staa wa Bongo Movie pia ambaye anaitwa Bondi, sasa basi baada ya taarifa kuenea katika mitandao mbalimbali kwamba amerudiana na Bondi leo ameyazungumza haya juu ya taarifa hizo.

‘Unajua watu hawajui tulipotoka yule ni mtu wangu wa muda mrefu ni makosa yake tu alinikosea ndio sababu ya mimi kuachana naye na ndipo nikaamua kwenda Zanzibar kuolewa yakatokea yaliyotokea na sasa niko na Bondi yaani nimerudiana naye nimesamehe yaliyopita kwasasa tuna kama miezi miwili tangu turudiana katika uhusiano wetu’
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. UZINZI,MNAZINI.

    ReplyDelete
  2. bwaaaaaaa, hovyo kubwa jinga mitoto mikubwa bado unaendekeza umalaya

    ReplyDelete
  3. Anaboa hawezi ndoa anaweza hayo mtu mzima hovyoooo...mipombe hiyo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad