Baraka da Prince Amtukana Ney wa Mitego

Baada ya Nay wa Mitego kudai kuwa muimbaji huyo wa ‘Nisamehe’ na Stan Bakora ni watoto na kwamba huenda wanatafuta kiki, ameibuka na kudai kuwa rapper huyo hana akili na ni mp*mbavu.

“Nay hana akili, yaani Nay wa Mitego ni mp*mbavu tu,” Barakah alimwambia mtangazaji wa kipindi cha Mdundo Bando cha Lake FM, JR Junior. “Yeye ndio anaishi kwa makiki ndio maana mpaka alifungiwa kwa kupiga madada za watu picha za uchi, sio mwanamuziki mzuri,” alisisitiza msanii huyo.

“Nay wa Mitego ni rapper anayeungaunga, yaani huwezi kumweka miongoni kwa rappers wakali Bongo, huwezi kunitajia Nay wa Mitego nikakuambia kwamba ni rapper mkali. Kwahiyo naye akija akaongea shit about me yaani
nitamshangaa.”
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Baraka hapo umechemka ney hakusema jambo baya wala hakutoa matusi kama unayo yatoa wewe kweli wewe ni mtoto haujakomaa kiakili ungekuwa umekomaa kiakili natumai ungejibu kibusara sio kutoa matusi kama hayo au haujui maana ya neno mpumbavu???????? mbona vitu vingine vidogo tu sasa wewe unaukataa weusi kwani weusi dhambi au weusi unakutia umaskin na istoshee stan ni mtui wa vituko na watu hawakutake serous kama wewe ulivyoichukulia Weusi ndio asili yetu sisi wa afrika na sifa ya mwanaume si sura sasa unataka weupe ukupeleke wapi sasa duuuuuh fid alishwakwambia mtoto akijichubua haimaniishi anaukimbia uafrika sasa ww unatukana watu kisa u black nyoooo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad