From Global
Mtu Kati: Vipi katika kupigapiga ‘gemu za nje’, umewahi kupata mtoto au watoto?
Kinyaiya: Yaah! Nina watoto wawili, wa kwanza anaitwa Ben Kinyaiya Junior, ana miaka minne na nusu na wa pili anaitwa Nilla, huyu ni wa kike na ana miaka mitatu.
Mtu kati: Kwa muda mrefu kumekuwa na madai ambayo hayajathibitishwa kwamba unajihusisha na mapenzi ya jinsia moja (ushoga), unalizungumziaje hili?
Kinyaiya: Ni mawazo yao tu, kwanza nikwambie mimi huwa siabudu majungu. Watu walianza kunizungumzia vibaya kitambo wakinihusisha na hayo mambo, wengine wakawa wanasema eti hawajawahi kuniona na mwanamke, nikawapuuzia tu. Baadaye kibao kikageuka, wakaanza kuniita eti mimi ni malaya kwa sababu nina wanawake wengi, pia sikuwajali. Nikaendelea na maisha yangu na sasa hivi ndiyo kama hivyo tena, tayari nina watoto wawili, waliokuwa wakinizushia mambo mabaya wote wamenyamaza kimya.
Mi nafanya shughuli zangu za kimaendeleo, sina haja ya kujibizana na watu wanaozusha maneno ya uongo juu yangu, kama mtu anahisi mimi nina matatizo yoyote basi aniunganishe na dada yake atampa majibu (anacheka).
Beny Kinyaiya Afungukia Ishu Ya Ushoga, Awaanika Wanaye
6
October 20, 2016
Tags
Sawala la kuwa gay halihusiani na kithibiti cha kuwa na watoto.To be a gay ni hsisa za mtu na wala hazimfanyi awe binadamu wa tofauti na binadamu wengine kwenye kila nyanja.Nadhani tuheshimu hisia za watu na tusiwaone wakosaji.
ReplyDeleteshoga hili
ReplyDeletekama anabisha
aseme alifanya nini ujerumani
haaaachi
Oops huyu shoga la kutupwa
ReplyDeleteKuzaa siyo hata sisi tuna wake na watoto
Ushoga si ugonjwa starehe kuliko nyingine
kwa hiyo wewe una famila yako na unakiri ni gay,so ni starehe kwako tena wajisifu ni starehe,gay wanaasili watoto je hao ni wakwako au mke kakupakazia,uliye comment hapo juu
Deleteushoga
ReplyDeleteuhanithi
hauzwi wala kununulika
watu wanazaliwa nao
BENY wewe kukana ushoga
Wewe mtoa hoja hao juu ni shoga no 1
ReplyDelete