Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amezifungia rasmi timu za Simba na Yanga kutumia uwanja wa Taifa mpaka pale zitakaporuhusiwa tena na Serikali.
Nape ametoa amri hiyo leo Jumapili ikiwa ni siku moja baada ya mashabiki wa klabu ya Simba, kung'oa viti vilivyopo kwenye majukwaa ya uwanja huo kwa kile walichokidai kupinga uamuzi wa Refa, Martin Saanya aliyechezesha mechi hiyo.
"Simba na Yanga hawatoutumia tena uwanja huu mpaka pale Serikali itakapoona kuwa mazingira yanaruhusu," alisema Nape.
Bola wafungiwe maana wote ni washenzi pumbavu zao
ReplyDeleteHaji Manara nae awajibike kwa hili,maana alishatamka atawachagiza mashabiki wafanye fujo.
ReplyDeleteNi umaskini na ufukara wa TFF,AU?
ReplyDeletekwa nini msiweke adhabu ya kuzuia mashabiki wa timu husika waliofanya fujo kuingia uwanjani wakati timu yao inacheza?NINA UHAKIKA KWA ADHABU YA KUTOINGIA UWANJANI ITASAIDIA.vinginevyo hali itakuwa inajirudia.
Hizo timu nyingine zikija kucheza uwanja wa taifa wanategemea mashabiki haohao wa Simba na Yanga, je nawao wakisusa kutoingia uwanjani, itakuwaje??
ReplyDelete