Mwezi uliopita baada ya Mama mzazi huyo kutopost picha ya Zari kwenye BirthDay yake na kuja kupost picha ya Wema Sepetu akimtakia Birth Day njema.
Kwenye The Playlist ya Times FM, Diamond aliulizwa swali hilo ambapo alifunguka kwa kusema kuwa inabidi ifike mahala kuwa wawape watu kitu cha kuzungumza kwakuwa kibongo bongo familia yao inatizamwa kama ya kina Kardashian.
“Sisi ndio pambo la mitandao, Mtu akiamka lazima aingie kwenye familia ya kina Diamond ajue inafanya nini, ni familia ambayo ina mshikamano na ipo kibiashara zaidi”.
“Inabidi tuwape watu vitu vya kuzungumza zaidi, Kila kinachofanyika kinafanyika kwa makusudi na Mama yangu na Zari wanaelewana sana, ndio maana Zari yupo Tanzania kwa sasa”
Mpooo?
ReplyDeleteA.K.A-Kadashian wa bongo.
ReplyDeleteMUONGO!!!
ReplyDeletembona unajidanganya hamuezi kuwa kina kardashian you will remain the same ikiwa utajitambua ulipotoka basi utapata jibu lakini mwezangu ikiwa utataka kijifananisha na watu huwezi kufika sisi tunakujua vizuri kotoka uzaliwe wa tandale Mwenyezi Mungu kakuinua basi shukuru mungu halafu ushauri mwanamme anaemdharau mama mzazi usiwe nae karibu i ve learned a lesson
ReplyDeletemuongo mnafiki huyo asokuwa na kazi aamke na kumfatilia Kadarshia wa bongo nani. kila cku anatafuta kiki. yes Bi sandra hapatani na Bi Leba hilo halina ubishi.
ReplyDeletelabda Sinta na Dida viandunje na yule Aunt wakisha amka na kukata viuno ndo wanamfatilia. na ile nyumba ya SA. hakununuliwa zari, jina limeandikwa Almasi Juma. ndo maana Bi sandra alisema Kigoma hatoki boi.so bi masumbuko azaeee, aleee, yakiisha akatafute serengeti mwingine. yanajirudia kama kwa Ivan.
ReplyDeletehapo umenena kabisa kweli maneno ya bi sandra kigoma hatoki boi pile bwana daimondi hakuna mtu ambae hana kazi akufatilie wewe kisa sasa umeshazoe kutafuta kiki huyu bi kizee atakukosesha radhi
ReplyDeleteumewapa ukweli kama diamond. unateka attention zao hahahaha
ReplyDeletewalokosa kazi kama wewe Domo na Zari ndo mnaoamka na kutafuta kuzungumziwa, mnachekwa kwa akili zenu za kiki. hamuwezi fikiria mengine zaidi ya kuzungumziwa na kujionyesha mpaka mavuzi yenu na mnavyolalana chooni.
ReplyDeleteYani kwa hapa domoo we ni muongooooo mbwaaa....mama yako hampendi zari n thats t...bora hata ungesema no koment kwenye hili swala lakn usijitutume sipendi mwanaume muongo...a gentleman huwa anajibu kwa kifup tu i got no comment on that baaassiiii...lak sio kudanganya umma hv chaaaa...
ReplyDeletemsimlaumu jamani Dai hakusoma kazipata pesa ukubwani anajiona hakuna kama yeye. upeo wa kufikiri au hata kusema ukweli hana, AQ yake ni ndogo sana, anapenda sifa na aonekane yeye ndo mjuaji. ila kwa bi Sandra kaongopa hakuna anaemtaka Bi Leba Madale analazimisha kuonyesha watu wako poa, huku kila mtu kivyake!
ReplyDeleteWatu bhana munafurahisha sana zaidi ya sana sasa nyinyi munaosema kuwa hamuna kazi za kuamka asubuhi kumfatilia big D sasa Mbona munacommet sasa bila kumfatilia iyo habari muliipata wapi?
ReplyDeleteWatu bhana munafurahisha sana zaidi ya sana sasa nyinyi munaosema kuwa hamuna kazi za kuamka asubuhi kumfatilia big D sasa Mbona munacommet sasa bila kumfatilia iyo habari muliipata wapi?
ReplyDeletedaimondi kina kardashian hakuna cha siri kwao ugomvi wa ndugu au mume na mke au mama mkwe na wakwe zake upo hadharani sasa wewe unajifananisha na kardashian utawapata wapi au huyo bi kizee wako anakupoteza anajua ur not educated anakujua ni mshamba wa hali ya juu so iko siku tapigwa butaa ujiulize eeh ni kweli haya yanayo ni fika kwani zari anamdharau mama yako na bado unampa uso utaharibikiwa na mengi
ReplyDelete