Diamond Azungumzia Ugomvi wa Zari na Mama yake na Michepuko

Diamond platnumz amesema hakuna ugomvi ndani ya familia yao kati ya mama yake, dada yake na Zari ila mashabiki ndio wanaokuza kwa kuwa wana IQ ndogo ya kutafsiri kinachopostiwa mtandaoni na watu hao
Kuhusu kuwa na mahusiano na wasichana wengine amedi kuwa watu wanadi hivyo kwa kuwa kila wakimuona na msichana mzuri wanafikiri anapiga kwa kuwa wao wana mazoea ya kupiga kila msichana mzuri

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. muongo Dai, anaona aibu bibi yake wamemsusa Madale.

    ReplyDelete
  2. chovya chovya huyo hana jipa. nani asomjua kama kitombi no1.atamdanganya huyo kizee chake. ila wabongo wanamjua vizuri. na labda wameyamaliza Madale ila Zari kaipata freash safari hii, alifikiri kila mtu anamshookea kisa kuzaa kama paka.

    ReplyDelete
  3. Anamkana Hamisa mbele ya Bi leba. hahaaaaa na zile hereni zilikuwa kiki ya birthd au.. uswahili hautoki. ila Bi Sandra na Esma wamejua kumshushua Granmaa.

    ReplyDelete
  4. msema kweli ni kipenzi cha mungu isitoshe sio lazima uanike ugomvi au nimenunua nyumba that is personal things na pia inaonyesha zari sio mwanamke wa wewe kua nae as mke dont cheat yourself mwanamke anaemkosea mama yako mzazi huyu sio mwanamke hapewi nafasi hata ya pili Naseeb utakuja kumbuka maneno yangu badilisha kizingiti sio kuzaa watoto waharamu kwanza huyo bi kizee hajijui maskini ni muislamu au mkristo mradi yumo huku na kule haifai wewe ni mtoto wa kislamu limwanamke limewwza kubadili dini yake kwa ajili ya mali huyo kweli unamueka ndani hapana hapo kuna walakini

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anaitwa zarina Hassan hajabadili, sana sana labda karudi tu kwenye dini yake ya awali,

      Delete
    2. Huo siyo ushauri mzuri kwa Dai, dini siyo kigezo cha wapendanao hata mkubwa wenu alimuoa Maria! sema zari inabidi ashuke kwa sababu tayari ana watoto wa dai na ile ndiyo familia yao. Period

      Delete
  5. Enter your comment...are you sure au uko na chuki bonsai? msipende kuhukumu na ni vema kusikiliza wao wanachosema na sio watu wanasema nn juu yao

    ReplyDelete
  6. MTATOKWA NA MAPOVU SANA, NAONA ROHO ZINAWAUMA SANA KUMUONA ZARI YUKO SAMBAMBA NA DAI WAKE, HASISII WALA HAAMBIWI, NDIO KWANZA KABEBA MIMBA INGINE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad