Hakuna Msanii Bongo Mwenye Vigezo vya Mwanaume Ninayemtaka – Shilole

Kwa mujibu wa Shilole, hakuna msanii Bongo aliye na vigezo vya mwanaume anayemhitaji kwa sasa.

“Hakuna hata mmoja,” Shilole alimjibu mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove aliyemuuliza kama kuna msanii wa Bongo kwenye vigezo anavyovitaka.

Awali alitaja vigezo hivyo kuwa ni, “Upate mtu ambaye anakupenda kwa dhati, mchapakazi, ambaye anajua kwamba maisha ni nini,” alisema Shishi.

Kingine alisema kuwa mwanaume huyo awe mrefu. Shilole alikuwa na uhusiano maarufu na Nuh Mziwanda kabla ya kuachana na kuwafanya wawe maadui kwa muda. Kwa sasa wameamua kuziweka tofauti zao pembeni.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pia hakuna mwanaume anaependa JIKE SHUPA kama wewe

    ReplyDelete
  2. kweli wanaume wote wameamka hamna tena mabwege mibwege bwege imashasombwa na kina granma

    ReplyDelete
  3. HIZO NI NDOTO ZA ALINACHA MAMA VITUKO

    ReplyDelete
  4. Gari la mkaa Tu huyo dada nyuma pako Kama Mbele

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad