Pichani : Scorpion, mwenye fulana nyekundu, akiwa mahakamani leo chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Leo katika mahakama ya wilaya ya Ilala, mkazi wa buguruni kwa mnyamani anayetuhumiwa kuwachoma watu visu na kisha kuwatoboa macho, Salum Henjewele maarufu kama Scorpion amepandishwa kizimbani na kusomewa tena shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha .
Kesi ya Scorpion, ambaye alikamatwa baada ya kumchoma visu na kisha kumtoboa macho, Said Ally mkazi wa mabibo Hostel, inasikilizwa na hakimu Adolf Sachore.
Leo kesi hiyo ilipangwa kwa ajili ya kutajwa na upande wa mashtaka umeieleza mahakama kuwa upepelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika na hivyo mtuhumiwa amerudishwa rumande
Huyu hakuna haja ya upelelezi wala nini? Upelelezi ni kuzinguana tu, jitu linaeleweka mambo, na mtendewa anatabika bado upelelez?, kwanza atolewe macho ampe mwenzie macho yake aliyomtoa, yeye Mbona anaona, atolewe Huyu japo ata jicho mmja mwenzie apandikizwe ili nae japo angalau apate kuona, jitu katiri kama nini? Utafikiri limejiumba lenyewe, na litaishi milele ulimwenguni kwa yaliyokuwa anawafanyia wenzake, hakuna kuwikawiza mijitu miwaji kama hii, ni mabaya zaidi ya wanyama kama simba
ReplyDeletekwa kweli hapo kwa huyo jamma sijui scorpio sijui snake hamna kesi mbona anajulikana kwa sifa zake za kutoboa wenzake macho na ujambazi na kuua sasa kesi ya nini atobolewe yale macho yake achomwe visu kama anavo fanyia wenzake halfu aburuze barabarani na yeye ahisi hapo ndipo mijambazi mengine yatajifunza musimcheleweshe huyo
ReplyDeleteHuyo 'mmbwa-mwitu' ni wakunyonga tu
ReplyDeletekama alie fanyiwa huu ukatiri anamtambua kua ni yeye achapwe miaka ya kutosha eli wajinga wenzie wajifunze kupitia kwake
ReplyDeleteafanyiwe kitu mbaya kama alicho wafanyia wengine
ReplyDeleteNaomba nae atobolewe macho, maana haya mambo ya haki za binadamu nayo
ReplyDeleteSwala zima hapo nikumtolea macho yote apatiwe yule aliyemtoboa! Napia afungwe jela maisha, sababu huyo akitoka Gerezan hawez kuacha hio tabia! Mtu amefikia hatua yakuua watu hawez kuacha.....Awe mfano kwa Majambaz wengne
ReplyDeletehilo li scorpion litakuwa lichawi sababu haiwezekani amchome mtu visu hadi kumtoa macho huku watu wanaangalia tu na sio mtu mmoja aliyekuwepo pale yaani ni watu wengi walikuwepo pale sasa itakuwaje wamshindwe mtu mmoja na hilo li scorpion lilimwambia kuwa hamna mtu wa kukusaidia je alijuaje kuwa hamna mtu atakayemsaidia ingawa ni kweli hakutokea mtu wa kumsaidia lakini alijuaje huyo kweli atakuwa anatumia nguvu za giza yaani uchawi sababu inajulikana kuwa wezi huwa wanatumia uchawi kuwaibia watu
ReplyDeleteInvestigation needed,huu ujasili anautoa wapi kama si mvuta banghi
ReplyDeleteWampe dhamana ili aangukie mikononi mwa raia..
ReplyDeleteangetobolewa na yeye asikie uchungu maskin kamharibia future mwenzie
ReplyDelete