Huyu Ndiye Mke wa Waziri Aliyekuwa ATCL

Je yeye ni sababu ya ATCL kushindwa kujiendesha? sidhani kufanya kazi ATCL kama mke wa waziri ni kosa labda kama hana sifa inayotakiwa kuajiriwa then itakuwa ni jipu hilo!!!!!!
Au ipitishwe sheria wake za mawaziri wasiruhusiwe kufanya kazi serikalini...
Toa maoni yako...
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio rahisi kwamba katolewa tu hivi hivi, there must be makando kandos in it

    ReplyDelete
  2. Tutasikia mengi na kuona mengi mwaka huu
    Tukiiga ya mwl mama Maria alikuwa mlezi wa watoto ikulu hayaendani na wakati
    Wanawake mpo huu ni udhalilishaji kwetu
    Si dhambi kuwa mke wa rais, waziri, au kigogo yoyote na kufanya kazi
    Kama watu wameachisha kazi zao kwa madaraka walio ni maamuzi yao
    Natanguliza hoja wanawake wenzangu

    ReplyDelete
  3. Si kila Mwanamke mwalimu wa shule ya msingi

    ReplyDelete
  4. Binafsi nilivyomuelewa JPM ni kwamba, mke wa Waziri unafanyajekazi kwenye shirika linalofanya vibaya kwa kuliwa na kuibiwa mpaka limefilisika, bila aibu. Ndege zilikuwa 18 mpaka zimebaki 0000, mke wa muheshimiwa bado upo-tu!! Ilitakiwa ajiongeze, aondoke akafanye kazi nyingine, lisife akiwemo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad