Huyu Ndo Mwalimu Aliyerekodi Tukio la Kikatili la Kupigwa Mwanafunzi na Walimu Mbeya Day

Pichani ni mwalimu aliyechukizwa na kitendo cha walimu wanne waliomshambulia Mwanafunzi kama wamekutana na Scorpion, pia alisikika akisema "mwalimu muacheni mtamuumiza" naamini ameokoa wanafunzi wengi wanaopigwa kama nyoka mashuleni bila sisi

HUYU NDO MWALIMU NDIYE MWALIMU ALIYE REKODI TUKIO LA KIKATILI LA KUPIGWA MWANAFUNZI NA WALIMU MBEYA DAY

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnaharibu kumtaja kwenye mitandao,Mtu kama huyu anatakiwa alindwe japo ni kitendo cha ungwana alichofanya lakini kwa upande wa waliofanya kosa hawawezi kufurahia jambo la kurekodiwa,na hivyo kuweka maisha yake hatarini kiusalama.

    ReplyDelete
  2. nyie mnaotoa picha yake hauoni kuwa mnamchongea kwa hao jamaa

    ReplyDelete
  3. Hyo mwl hana akili bali ni mpuuziii!! kwahiyo amefulai kuwafukuzsha wenzake chuo!! Cpendagi vieleele ktk maisha yng

    ReplyDelete
  4. Wewe hapo juuu kwa hiyo umefurahia kitendo walichokifanya wale walimu mpka umuite huyo dada kihere popote ulipo nakuombea dua scopion akutembelee uonje shubiri...angekufa yule kijana ungepata faida gani chiziii kweli wewe...huna maana kabisa ktk ulimwengu huu...

    ReplyDelete
  5. Kuna shida katika uongozi wa hiyo shule,mwalimu utaredodije mwenzako /? ni kosa kubwa sana,walimu walishidwa kukaa na kujadiliana kuhusu adhabu ya huyu mwanafunzi?,kunashida ya maelewano kati ya walimu,na ndio shida kubwa katika mfumo wetu wa ufundishaji,mfano mwalimu mmoja anaweza kufundisha somo moja vizuri,na mwengine aliye somea somo hilo hilo akafundisha vibaya.
    Mwalimu aliye rekodi mwenzake mimi NA MLAUMU SANA,KWA KOSA ALILOFANYA,KAMA MWALIMU,NA KURUHUSU KURUSWA HEWANI,
    amedhalilisha nchi,na Tanzania kwa ujumla,hata mimi ,nilipitia huku,ndio maana ,nimeweza kuishi kwa kufuata shereia za nchi vizuri kwa kibano cha walimu,japo si vema ,ila adhabu ni muhimu ,kwa ,mwanafunzi,ili ajifunze,hii video iko dunia nzima,imetunyima biashara ya wanafunzi wanaotaka kuja kusoma bongo,kwa kuogopa,madhara yake ya hiyo video ni kubwa sana,kuliko,tunavyo vikiria,.
    kosa la pili ni kufukuza walimu?, hao walimu watakuwa wageni wa nani? wangepewe adhabu waendelee na masomo yao.
    Wangefukuzwa walimu hivyo tusingekuwa na walimu Tanzania,namlaumu sana huyu mwalimu kwa maamuzi ya kuchukua video,na mkuu wa shule hakupitia hiyo video kwanza? au sheria zikoje ? km kila mtu akiamua kurusha kila kitu anachokutana nacho kwenye maisha,haswa polisi,mahospitalini,maofisini, Tanzania haitakuwa salama,tufikirie kabla ya kuamua,na kuomba ushauri pia.

    ReplyDelete
  6. mngejaribu cku moja kuja kuwafundisha hawa wanafunz wa kidigital ndo mrudi kukoment

    ReplyDelete
    Replies
    1. acheni kushabikia ujinga kwa kujifanya mnamachungu ya ualimu ualimu si kufundisha tu pia na malezi na hata kama mtoto amepinda kuna adhabu nyingi anazoweza kumpa ikiwemo fimbo lakini si kwa staili hiyo yeye matako hayaoni anapiga kichwa? mpaka kufikia hapa nilipo nilishachapwa sana shuleni lakini sikuwahi kupigwa kichwani nadhani mnapoomba uwalimu huwa mnajua kuwa mtakwenda kukutana na watoto tofautitofauti na wakitokea katika familia tofauti pia UKIONA WATOTO WA DIGITAL HUWAWEZ KALIME NYANYA CHUNGU SI KUTUULIA WATOTO

      Delete
    2. Basi kuna tatizo katika kuwaandaa waalimu, kama unaona ileilikuwa adhabu stahiki kwa kwa hao unaowaita wwnafunzi wa kidigital

      Delete
  7. huyu mwalimu alifanya vizuri sana kurekodi hiyo video, na kweli imevuja dunia nzima mpaka mimi naishi Ulaya nimeona hiyo video, huyu mwalimu aliyerekodi hiyo video ni shujaa anatakiwa apewe tuzo na zawadi nzuri sana kwani ameokoa wanafunzi wengi sana sababu baada ya hii video kutoka hamna mwalimu yeyote atakayefanya ukatili kama huo kwa wanafunzi, hao watu wanaosema kuwa huyu mwalimu amefanya vibaya kurekodi hao wanaosema hivyo ni makatili kama wale walimu waliofanya ukatili kwa yule mwanafunzi, marafiki zangu hapa wazungu nimewaonyesha hiyo video yaani wamelaumu sana kuwa Tanzania kuna ukatili kama huo kwa wanafunzi kuwa mpaka leo wanafunzi wanachapwa shuleni, kwani kuchapwa si kumfundisha mwanafunzi

    ReplyDelete
  8. Kiujumla walimu walikosea sana adhabu ilikuwa kali mno ni kama jambazi amekutwa akiiba.huyo aliyerekodi alivumilia alishindwa moyo wa kibinadamu ulimuuuma.hata mkuu wa mkoa anasema nidhamu ya wanafunzi ni mbovu ina maana jibu la hiyo nidham ndio kuwapigika vile wanagunzi.kuna njia nyingi za adhabu ikiwemo mzazi kuitwa au wangelipoti ngazi za juu kuliko hatua walizochukua simuungi mkono mkuu wa mkoa.kwanza kwa sasa walimu lazima wawasemee ubaya wanafunzi ili wapooze ukatli wao

    ReplyDelete
  9. Enter your comment...inauma sana!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad