Jackline Wolper Kuhusu Wanaosema Ana Mimba ya Miezi Mitatu…

Ni October 16 2016 ambapo msanii kutoka kwenye tasnia ya Filamu Jackline Wolper  aliingia kwenye kikaango cha mashabiki wake baada ya kupost picha ikionesha ana ujauzito huku wengi wakiwa na maswali tofauti.


Sasa basi staa huyo aliamua kuyaandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema
Hatimaye nikakavua kale kamkanda nakukatua kaa mkanda kametengeneza mimba yamiezi mitatu wakati ndo kwanza mwezi...Mkanda leo ndo mwisho wako tena nakuacha huku huku china ndege aupandi bhana’

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ala... Ilikuwaje akaenda Shangai au Gwanjuuu kwa huko hakuna Hospitali za Uzazi?

    ReplyDelete
  2. Kwani Lilu Amber ilikuwa Kweli?

    ReplyDelete
  3. Watoto wa kike vitambi noma fanyeni mazoezi chips kuku siyo dili

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad