KAMA Unajiamini Konyagi, Zanzi, Amarula, Supu ya Pweza, Vidole vya nini?

Miaka inaenda na dunia inabadilika nikipiga stori na wabibi na watu walio nizidi umri naamini kweli wao walifaidi mapenzi zaidi ya kizazi hichi maana enzi zao kulikua hakuna utandawazi kama sasa pia magojwa hatari kama sasa wao walifaidi aisee pia wanaume walikua wanakula vyakula vya asili.

Vilivyopelekea kua na nguvu za kiume haswa siyo vijana wa leo wameishia vyakula vya kusindika na kutwa kwenye mitandao kuwatch porno na pia siyo kwamba zamani punyeto haikuepo ila walikua wanapiga kubalance ila vijana wa leo kutwa wanapiga punyeto mara 4 hii hatari sana imepelekea mtu akipata dem anakimbilia bar kushitua konyagi, zanzi, ili aboost na mkiwa faragha ni vidole tuu vinatawala muda mwingi nani kakuambia.

Mwanamke anahitaji vidole kwani yeye hana vidole? unasokomeza huko vidole tena vichafu unaleta bacteria bhana... kidole kina utaalam wake si kukisokomezea humo mavidole.. poleni sana kula vyakula vya asili, fanya mazoezi, ndiyo siri kumridhisha mwanamke ni mchezo mdogo tuu si lazima konyagi zanzi, bia harufu inaleta kero sana........ na finger khaaa
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. eti sasa hivi kuna magonjwa hatari ukasome kwanza kabla ya kuja kuandika bullshit hapa, kama magonjwa hatari yalikuwepo tangu enzi za mababu zetu, kama ulikuwa unamaanisha ukimwi ulikuwepo tangu enzi za mababu zetu na watu walikuwa wanaumwa halafu wanakufa ila kipindi hicho huu ugonjwa wa ukimwi ulikuwa haujagundulika na ulikuwa hauna jina, ndiyo miaka ya 80 wakafanya utafiti ndiyo mwaka 1983 ndiyo huo ukimwi ukagundulika na ukapewa jina la Aids na watafiti walisema huo ugonjwa ulishaua watu wengi sana miaka ya nyuma kabla ugundulike mwaka 1983 na kupewa jina, ikimaanisha ukimwi umekuwepo miaka yote, na siyo kweli kuwa vyakula vya asili vinaleta nguvu za kiume, mbona ulaya hakuna vyakula vya asili lakini wanaume wa kizungu wanapenda sana kufanya mapenzi, mimi ninae mwanaume mzungu na huwa anasikia sana hamu ya kufanya mapenzi kila mara bila ya kula vyakula vya asili na bila kutumia dawa yeyote, na konyagi haimsaidii mtu kuboost pombe inamfanya mtu alegee inamfanya mtu achoke asiweze kufanya mapenzi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad