Mbatia: Uhakiki wa vyeti feki uanzie kwa Rais na viongozi wengine

Mhe. James Mbatia (MB) Vunjo, na Mwenyekiti Taifa NCCR. Ametaka zoezi la uhakiki wa vyeti feki ni vyema likanzia kwa Rais na viongozi wengine.

Binafsi naunga Mkono hoja ya Mhe.Mbati kwa sababu mbili tu.

1.Kiongozi hutakiwa kuongoza kwa Mfano, tulitegemea akianza Rais, watafuata na viongozi wengine wote, PM, VP, W. N/W, RC, DC, Wabunge hadi Madiwani.

Aidha, kuna mazoezi mengi hapo awali yalianzishwa na Rais na viongozi wengine Tuliona wakati wa kampeni mbalimbali kama vile UKIMWI na Malaria No More, Tuliona Utambulisho wa anuani za makazi, Tuliona kwenye BVR na NIDA.

Ikumbukwe kuwa, JPM alikuwa mastari wa mbele, kwa maana wa kwanza katika Zoezi la UHAKIKI WA SILAHA Mkoa wa Dar.

2. Kuonyesha uhalali wa zoezi husika, kuwa kama zoezi likianza na Viongozi mara nyingi huchukuliwa ni serious na ni zoezi halali lisilo la kibaguzi kwa baadhi ya kada tu.

Kwani Mpaka sasa kuna baadhi ya Mawaziri inasemekana wanatumia majina fake, so uhalali wa zoezi hili upo wapi?

My Take:
Zoezi lianze kusafisha Nyumbani kwanza ( Baraza la Mawaziri & vigogo)

Source: Gazeti la Mtanzania.
Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inashangaza mawaziri wengi wamesoma
    Wakiwa mawaziri
    Wengine Ph.D. Za chemistry
    Fisikia
    Na hesabu
    Tujiulize kozi hizi zinataka uwe na maabara kufanya utafiti wako
    Waziri kupata Ph.D. Kwenye kozi hizi haaniingili kichwani kabisa Leo wamekuwa wao kuwanyoeshea watu vidole
    Bora kaka wa Msoga mwenye Ph.D. Za hisani

    ReplyDelete
  2. Nafikiria mwandishi wewe na Mbatia mnawalakini na akili mmetindikiwa hasa kwanini ktk jambo latija lazima mmfananishe na raisi ajaribiwe kwa mnashaka nae na yeye pia vyeti feki linamhusu kwa hio hii nchi mpaka raisi anachaguliwa na mamilioni ya watu na kumuamini kumkabidhi nchi mnaona kama hajatimia hakusoma kama mnavyopenda watu wafahamu kwa hiyo mnatetea mafisadi yaliyotufikisha hapa na vyeti vyao feki wasihakikiwe

    ReplyDelete
  3. Mbatia kama unashaka na mawaziri wana vyeti feki wataje hadharani sio kumkoromea raisi ili uonekane na wewe umetoa ushauri wa kijinga

    ReplyDelete
    Replies
    1. phd za rais bomu
      waziri phd za sayansi
      forget it

      Delete
    2. ana phd feki naye

      Delete
  4. Mbatia unaogopa mimi tukianzia kama tulivyo panga au ww ni KILAZA?.. TUTAANZA NA WEWE KAMA INABIDI..RATIBA TUNAYO NA KWAKO TUTAFIKA TUU USIWE NA WAHAKA..HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  5. Mbatia mbona unaingilia kazi za watu. muulize Edga Kasunga atakupa mpango mzima ukiwepo wa kukufikia wewe. zoezi linaendelea wacha mchecheto. Vilaza wanajijua na wako tena wengi..tunakuja usiwe na mashaka

    ReplyDelete
    Replies
    1. una nini wewe fyuuuu
      mbatia alikuwa msema kweli alipingana na MNAUYE asia enzi hiyo

      Delete
  6. phd za mkuu bomu tena bomu chuo tunalijuwa
    na yeye tunamtumbua si pumbe tuna data zote

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama we si kilaza zitoe hizo data mfyuuuuuuu

      Delete
  7. Hamkuona cha kuelekeza hoja kuthibitisha Mbatia amesha hakikiwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad