Meneja wa Diamond Apanda Ndege Kumfuata Chriss Brown Mombasa Kukamatia Fursa...

Wadau wa muziki wa bongofleva nadhan wote mnaelewa kuhusu ushindani unaoendelea kati ya wanamuziki machachari kabisa nchini..katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii nimeona meneja wa gwiji wa huu muziki Diamond platnumz ameandika kwamba anaelekea mombasa ambako gwiji Alikiba atapafomu akiwa pamoja na Chris brown kutoka America na wizkid,na kwa maoni ya watu wengi wanasema kwamba Sallam anaenda kumnasa Chris brown ili afanye kolabo na Chibu kama kipindi kile kwa Neyo..Nikiwa kama mpenzi bongofleva naomba kingkiba afanye kitu kuhusu kolabo na CB na asichezee bahati..
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kiba ni King hashitushwi na kolabo tena, acha Diamond afany yeye anae hitaj kujulikan Kiba tayar kajulikana hana pupa ya kolabo tena.

    ReplyDelete
  2. mkitegemea kolabo na Chris Brown mlie tu hamna kolabo hapo Neyo sio Chris Brown

    ReplyDelete
  3. mnafikiri kollabo ni mapumbu kila mtu anayo muacheni dimond afanye vitu vyake

    ReplyDelete
  4. eti meneja apanda ndege kwenda Mombasa kumuombea Diamond kolabo na Chris Brown, Diamond hajakaribishwa kwenye hiyo shoo ya Mombasa akaona amtume meneja wake aende huko kuomba kolabo, du hamuwezi kumfosi mtu kolabo kama hata kujakaribishwa kwenye hiyo shoo kubwa ni heri kukaa kimya bila kumfuata mtu mpaka Mombasa kuomba kolabo na si ajabu kuwa Chris Brown hamjui Diamond ni nani, ni Neyo tu ndiyo anamjua Diamond lakin siyo Chris brown

    ReplyDelete
  5. Simba unawatoa povuuu watu daaaah

    ReplyDelete
  6. hii tabia wasafi wanayo ni vimbele mbele acheni choyo mbona munamuonea King wivu wakati domo akienda huku na kule wenzake hawana hata habari yaani awepo au asi kuwepo hawajali lakini wasafi wanatapatapa wenye wivu wajinyonge na wameimba kabisa kumbe wanajijua ni wenyewe

    ReplyDelete
  7. Annonymous 10:44, hapo umesema kweli kabisa, Ali kiba huwa haangaiki hata kidogo kuwa Domo atapalfom wapi ili na yeye aende yaani hana hata mpango wa kujua, yeye King kiba anafanya yake na wala Kiba hajitangazi sijui kwa siku anaingiza ngapi, inaelekea King Kiba ana timu nzuri ya kumpa ushauri mzuri jinsi ya kuongea na social media, siyo kama Domo anajiropokea tu kwenye media mpaka anatoboa siri za kike ambazo azimuhusu oo mimba ya furani imeharibika wakati mhusika hajatamka chochote, hiyo ni aibu, nyie team ya Domo muangalieni msanii wenu asizidi kujiabisha, sababu ameanza kushuka taratibu na baadaye atapotea kabisa

    ReplyDelete
  8. kiba hana shoboo na haez onyesha maisha yake kiboyaaa king kiba ni mwanaume sio mjinga hata akiwa na show kubwa na mtu wa aina yyt huez kusikia anasme aa hata akienda wapi lkn domo ushamba kila afanyalo anaandika polee yakee mnamhangaikia chris brown ambapo hata domo hajui ni nani hahahaaa

    ReplyDelete
  9. Mjazeni ujinga huyo ali kiba wenu. Kama hajui kuchangamkia deal hata baki anashangaa Tu simba anazidi ku unguruma ye analia nyaaaau.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad