Mgogoro wa Uongozi Unaofukuta ndani ya CUF Unaendelea Kuchukua sura Mpya

Mgogoro wa Uongozi unaofukuta ndani ya Chama cha wananchi CUF unaendelea kuchukua sura Mpya baada ya kamati ya Uongozi ya chama hicho kutotambua mabadiliko ya kurugenzi ya chama hicho yaliyofanywa na M/kiti wa Cuf Prof Ibrahim lipumba ambaye alivuliwa madaraka na Baraza la Uongozi la Cuf hivi karibuni.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dsm M/kiti wa kamati hiyo Julius Mtatiro amesema mabadiliko hayo hawayatambui huku pia wakishutumu msajili wa vyama vya siasa kwa kumtambua Prof.Lipumba kama m/kiti halali wa CUF kwa madai tayari wameshamvua uanachama.

Wabunge wa chama hicho wameomba kukutana na msajili wa vyama vya siasa kwa ajili ya kuzungumzia mgogoro huo.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sakaya wewe Kama u kimada wa lipumba ondoka naye
    Bila usinge pata ubunge ngo
    Mwanamke wa maana hatembei na Lipumba

    ReplyDelete
  2. Mtatiro hata wewe unajisumbua, mwisho wa siiku na wewe utabaguliwa, fanya tathmini kwanza kwani hii itakurudia mwenyewe, naona ungekuwa kifua mbele kuwa upande wa pro Lipumba, huyu ni prof sijui wewe ni nani, uenda ujui kinachotengenezwa na katibu mkuu, katibu mkuu anadai kuwa kutofaulu kwao kwenye harakati zao mbalimbali zinasababishwa na CUF waliopo BARA, sasa sijui wewe mtatiro wewe unatokea upande gani wa jamhuri ya muungano?Jitathmini kaka.

    ReplyDelete
  3. Umebarikiwa kuongea bila kutumia akili,TAFAKARI!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad