Nataka Kumpeleka Mke Wangu Chuo Lakini Roho Inasita..Naogopa Kugongewa

Ndugu zangu,

Mke wangu ni mmojawapo wa mwanachuo aliyechaguliwa kujiunga na chuo fulani hapa nchini. Nimeamua kuja kuomba ushauri kwenu kwa sababu upande mmoja wa roho yangu unaniambia usimruhusu na upande mwingine unaniambia mruhusu.

Hili limetokana na tetesi nyingi zinazowahusu wake wa watu kutafunwa kirahisi sana hasa wakiwa mavyuoni. Tuna watoto watatu na sasa hivi anamimba ya miez 4. Mimi nimfanyabishara nataka nimuendeleze mke wangu ili tuweze kuendeleza vizuri biashara zetu.

Naomba ushauri wenu ndugu zangu
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona nilisha mfaidi mkeo kama mala tano. Hachana na wivu huyo ni mkeo sio mali yako.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad