Orodha ya Marais 10 kutoka nchi za Afrika wanaoongoza kwa kuwa na kiwango kikubwa cha elimu.
10) Ellen Johnson Sirleaf (Liberia)
Elimu: Master of Public Administration (M.P.Adm.), Bachelor of Economics (BEc), Associate Degree in Accounting (A.A.)
Ellen Johnson Sirleaf ni Rais wa 24 wa Liberia ambaye bado yupo madarakani hadi sasa. Amesomea katika vyuo mbalimbali kikiwemo Chuo wa West Africa, Madison Business College. Alijiunga na Taasisi ya Uchumi Boulder, Colorado, mwaka 1970.
9) Faure Gnassingbe (Togo)
Elimu: Master of Business Administration (M.B.A), Bachelor of Business (B.B.A).
Faure Gnassingbe alipata elimu yake ya msingi na sekondari Lome, Shahada ya uchumi kutoka Paris nchini Ufaransa na MBA katika Chuo Kikuu cha George Washington nchini Marekani.
8) Robert Mugabe (Zimbabwe)
Elimu: Master of Laws (LL.M.), Master of Science (M.Sc), Bachelor of Laws (LL.B), Bachelor of Science (B.Sc), Bachelor of Education (B.Ed), Bachelor of Administration (B.A.A), Bachelor of Arts (B.A.)
Robert Mugabe amepata Shahada yake moja kutoka katika chuo cha Fort Hare nchini Zimbabwe. Shahada nyingine alizipata kwa kusoma chuo huria.
7) Ibrahim Boubacar Keïta (Mali)
Elimu: Master of Political Science (M.S.), Master’s degree in History (M.A.)
Ibrahim Boubacar Keita amekuwa Rais wa Mali kuanzia mwaka 2013. Amesoma vyuo mbalimbali Paris nchini Ufaransa, Bamako, Dakar nchini Senegal.
6) Dr. Ameenah Gurib (Mauritius)
Elimu: PhD in Organic Chemistry, Bachelor of Science in Chemistry (B.Sc.)
Dr. Ameenah Gurib-Fakim ni Rais wa Mauritius, amepata Shahada yake ya kwanza ya Chemistry kutoka Chuo Kikuu cha Surrey mwaka 1983 na Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka katika Chuo Kikuu cha Exeter nchini Uingereza.
5) Dr. Mulatu Teshome (Ethiopia)
Elimu: Ph.D. in International Law, Bachelor’s Degree in Philosophy (B.Phil.)
Dr. Malatu Teshome amekuwa Rais wa Ethiopia tangu mwaka 2007. Elimu yake ameipata kutoka nchini China.
4) Alassane Ouattara (Côte d’Ivoire)
Elimu: Ph.D. in Economics, Master of Economics (M.Econ.), Bachelor of Science (B.S.),
3) Dr. Peter Mutharika (Malawi)
Elimu: Doctor of Juridical Science (J.S.D.), Master of Laws (LL.M), Bachelor of Laws (LL.B.),
2) King Mohammed VI (Morocco)
Elimu: Doctor of Law (J.D.), Master of Advanced Studies (M.A.S.), Bachelor of Laws (LL.B.)
1) Dr. Thomas Boni Yayi (Benin)
Elimu: PhD in Economics and Political, Master of Economics (M.Econ.)
Waafrica hatuitaji Elimu za marais wetu
ReplyDeleteTunataka maendeleo
Tanzania toka rais na Ph.D. Uchwara hadi wakuu wa wilaya wote Ph.D.
MA Ph.D.
Maendeleo ya inchi hayaletwi na Ph.D. Au MA uchwara
Ndo mtu anaropoka kila kukicha
Mwenge haaakujuwa last minute anaropoka
Marais wakuletwa mfukukoni shida
Yote Msoga hii
Japokuwa eti makonda wa kumponda jk uongozi wake
Ama
kuwa na heshima kwa wakubwa zako mbona na wewe unaropoka??? acha uvivu wa kufikiri, unataka wawekwe darasa la saba???mfyuuuuu
Delete🇹🇿🇹🇿🇹🇿🍻🍻🍻🍻🍻🍻
ReplyDeleteHEMRDI PHD
ReplyDeleteHEMEDI PHD
ReplyDeleteKama kweli unaheshimu
ReplyDeleteMwinyi
Mkapa
Kikwete
Fukuza
Makonda
NGUVU YA SHUKRANI
"Katika maisha yangu siwezi kusahau mchango mkubwa wa Mzee Ali Hassan Mwinyi. Mzee Mwinyi akiwa Mwenyekiti wa CCM ndiye alisimamia kikao cha Chama kilichoniteua mimi kwa mara ya kwanza kugombea Ubunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki mwaka 1995. Kama Mzee Mwinyi angekata jina langu siku ile, huenda leo mimi nisingekuwa hapa. Nakushuruku sana Mzee wangu Mwinyi maana huo ulikuwa ndiyo mwanzo wa safari yangu ya uongozi. Pili, ninamshukuru pia Mzee Benjamini William Mkapa ambaye aliniteua kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi mwaka 1995 mara tu baada ya kuchaguliwa kuwa Mbunge. Mwaka 2000 akiwa Mwenyekiti wa CCM aliniteua kugombea Ubunge na nilipochaguliwa alinifanya kuwa Waziri kamili wa ujenzi hadi mwaka 2005. Nashukuru kwa kuniamini na kunipa nafasi ya kugombea Ubunge na kuniteua kwa nafasi ya Uwaziri tena bado nikiwa na umri mdogo. Mzee Mkapa ahsante sana.
Ninamshukuru Mzee Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye aliendelea kunilea katika uongozi kwa kuniteua kuwa Waziri wa Wizara mbalimbali, ikiwemo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Wizara ya Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi pamoja na Wizara ya Ujenzi. Kwa Mzee Kikwete mbali ya kupitisha jina langu kugombea Ubunge wakati akiwa Mwenyekiti wa CCM mwaka 2010 aliamua kujitishwa mzigo, mzito wa kusimamia mchakato wote wa kumpata Mgombea Urais 2015, akaniamini hadi kuteuliwa na mikutano husika ya CCM. Kwa Mzee Kikwete pia nimejifunza mambo mengi lakini kubwa zaidi ni uvumilivu na ustamilivu. Nasema kwa dhati kabisa kuwa Mzee huyu ni mvumilivu na mstamilivu sana. Ni viongozi wachache wenye uvumilivu na ustahimilivu wa namna hii. Binafsi sina cha kumlipa zaidi ya kutoa ahadi ya kufanya kazi kwa bidii ili kumuenzi." - Rais John Pombe Magufuli (Mkutano Mkuu wa CCM, Dodoma julai 23, 2016)
pumabavu hapo juu mbwa ww
ReplyDeleteUnajikomboleza nini hapo juu. Ni nyinyi mnaobebwa na viongozi wengi bila uwezo. Jibu lako haliendani. Kuna ulazima wa Watanzania kuelewa, Cheo ni dhamana. Na unapomchagua raisi ukijua uwezo mdogo na bado unamsifia hulitendei haki Taifa. Mkitaka Taifa liendelee lazima Tanzania ipate uhuru wa kielimu, kifikra na kupata watu wanaojisukuma wenyewe kujikwamuana kutaka maendeleo ya kweli. Mnachagua maraisi wasio na uwezo wa kazi mnazowakabidhi na dhaifu matokeo yake ni Taifa kushuka kielimu, kiuchumi, kimaendeleo.Hii ni aibu kwa kutokujua hili, halafu mtu kama huyu wa juu anawapongeza maraisi waliotupeleka pabaya sababu wameshindwa kusimamia kazi walizopewa na kutafuta urafiki au kupendwa. Hii inaonyesha dhahiri hawakuwa na uawezo. sasa unawajazia sifa, nawe pia hunalo na ni aibu tupu.Ni mtu kama wewe ulitununukiwa cheo bila kuwa na uwezo. ulishikwa na wakuu wasio na uwezo pia. Haya yote na hizi tumbua ni sababu ya hao maraisi unaowasifia.
ReplyDeleteUjinga huzaa ujinga.