PAUL Makonda Awajibu Mawaziri Wanaohoji Anatafuta Nini

Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda amesema kuna watu wanaohoji wakiwemo mawaziri kuwa anatafuta nini?
Yeye amesema hawezi kujizuia na anawajibu kuwa anatafuta kutimiza kusudi la Mungu kwenye nafasi aliyopewa, na kingine ni kuwapa heshima waliompa nafasi aliyonayo
Amesema kuna watu wengi walikuwa wanaongea kuhusu yeye kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wakati yeye ni mdogo na hataweza lakini licha ya hayo rais akamuamini na kumteua
Lingine amesema anataka aache alama kuwa kuna mtu alikuwa mkuu wa mkoa wa Dar na akafanya mambo kadhaa

Angalia Video

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yetu macho
    CCM hiyo mtakamata uchawi wenyewe kwa wenyewe
    Dar ina wenyewe wengine mnatipa tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad